mikataba ya zabuni iliyotolewa kwa mwaka wa fedha 2015-2016 na 2016-2017

01 August 2017

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Musoma anautangazia Umma kuwa mikataba yote iliyoingiwa na Halmashauri ya Manispaa ya Musoma imekwishatoka wananchi wanaweza kuusoma katika ofisi Zote za Kata, Mbao za matangazo pamoja na tovuti ya Manispaa. Kwa maelezo bofya hapa CONTRACT AWARDED DURING 2015-2016 & 2016-2017