Idara ya Elimu Sekondari

IDARA YA ELIMU SEKONDARI

Majukumu ya Elimu Sekondari

Idara ya Elimu Sekondari inayomajukumu yafuatayo:-

1. Kufuatilia na kusimamia utekelezaji wa taarifa za ukaguzi wa

Shule za Sekondari.

2. Kubuni Mipango ya Mitihani ya Elimu ya Sekondari na kusimamia

utekelezaji wake

3. Kuhakikisha kuwa Walimu na watumishi wengine wa shule za

Sekondari wanafanyiwa tathimini ya wazi ya utendaji kazi (Openi

Perfomance Review and Appraisal System – OPRAS)

4. Kukusanya, kuchanganua, kutuma na kutoa takwimu sahihi za

Elimu za Sekondari katika Halmashauri

5. Kubuni na kuratibu mipango ya mafunzo kazini kwa Walimu na

watumishi wengine wa shule za Sekondari

6. Kuratibu mashindano ya michezo ya Taaluma ya shule za

Sekondari katika Halmashauri

7. Kuratibu utoaji wa huduma mbalimbali kwa wanafunzi wa shule

za Sekondari katika Halmashauri

8. Kuandaa malipo ya nauli kw awalimu wanaokwenda likizo

9. Kuandaa bajeti ya Idara na Vitengo vyake ikiwa ni pamoja na

mpango kazi inaoendana na bajeti hiyo.

10. Kuandaa Tange ya walimu wa shule za Sekondari kwa kila

mwaka

11. Kugawa fesha za ruzuku kwa shule 18 za Sekondari