• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Mrejesho |
    • Lalamika |
Musoma Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Musoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Wasifu wa Kijamii na Kiuchumi wa Halmashauri
      • Viongozi wetu
        • Mayors
        • Municipal Directors
    • Dira na Dhamira
    • Maadili yetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Rasilimali Watu na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mipango Miji na Ardhi
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Usafishaji na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
      • Kitengo cha Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Uhusiano
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Maeneo ya Viwanda
    • Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za maji
    • Maombi ya Huduma
    • Uthibi wa Mazingira
    • Uthibiti wa Misitu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Elimu, Afya na Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili ya Madiwani
    • Ratiba ya vikao
  • Miradi
    • Miradi inayopendekezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Mpango wa Matumizi Bora ya Ardhi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mwongozo wa kushughulikia Malalamiko
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
    • Wasifu wa Kijamii na Kiuchumi wa Halmashauri
    • Miongozo na Nyaraka
    • Sheria ndogo
    • Majarida
    • Council Budget
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba
    • Makala

Page Title here

Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya

Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya inaundwa na jumla ya wajumbe kumi (10). Kamati hii inadhamana ya kushughulikia mambo yote yanayohusu afya ya jamii, elimu na huduma za maji.Kamati hii pia inashughulikia mambo yanayohusiana na jitihada za wananchi Mitaani kujiletea maendeleo yao kwa kutumia mbinu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kushauri, kushawishi, kuzindua, kuelimisha na kushirikisha wananchi hao hasa katika kuyatayarisha, kutekeleza, kusimamia na kutathmini mipango yao ya maendeleo.

Wajumbe wanaounda kamati hii ni:-

  1. Mhe. David Cosmas Regu            - Mwenyekiti
  2. Mhe. William P. Gumbo                 - Mstahiki Meya
  3. Mhe. Vedastus M. Mathayo           - Mbunge
  4. Mhe. Cleophas Mato Kuboja         - Kata ya Mwisenge
  5. Mhe. Jumbula Maclaud Rugola     - Kata ya Buhare
  6. Mhe. Juma Haji Idd                        - Kama ya Iringo
  7. Mhe. Mariam Sospeter Jackson    - Kata ya Kwangwa
  8. Mhe. Kulwa P. Mahamba               - Kata ya Rwamlimi
  9. Mhe. Alex Mtake Nyabiti                - Kata ya Kigera

Majukumu Maalum ya kamati

  1. Kuandaa mipango madhubuti ya maendeleo ya upanuzi na ujenzi wa hospitali, vituo vya afya na zahanati.
  2. Kuandaa mipango ya maendeleo ya upanuzi na ujenzi wa shule za awali na msingi na elimu ya watu wazima kwa mujibu wa sheria ya elimu ya 1978 kama ilivyorekebishwa mwaka 1995.
  3. Kupendekeza mipango ya ujenzi au upanuzi wa vituo vya afya, viwanja, majengo na mazingira ya burudani, starehe, mapumziko na michezo.
  4. Kuamua juu ya mambo yanayohusu uhifadhi wa mambo ya kale na mandhari mbalimbali yenye sura nzuri.
  5. Kupendekeza kwa Halmashauri mipango ya kupanua biashara na jinsi ya kukusanya mapato yatokanayo na upanuzi huo.
  6. Kusimamia matumizi ya sheria ya nguvu kazi.
  7. Kuandaa mipango madhubuti ya maendeleo ya upanuzi wa kilimo katika Halmashauri.
  8. Kushughulikia uanzishaji na uendelezaji wa vyama vya ushirika kwa mujibu wa sheria ya vyama vya ushirika.
  9. Kuweka mikakati ya makusudi juu ya njia bora za kuchangia baadhi ya huduma za elimu na afya.
  10. Kuandaa na kuratibu njia bora juu ya uhifadhi wa nyaraka muhimu kwa ajili ya kumbukumbu hizo zitahifadhiwa kwa mujibu wa sheria ya Serikali za Mitaa sura ya 288.
  11. Kubuni na kupendekeza njia bora za kuzuia na kudhibiti magonjwa ya mlipuko.
  12. Kupendekeza njia bora juu ya uhifadhi wa sanaa mbalimbali za ufundi na za maonesho kwa mujibu wa sheria ya Serikali za Mitaa sura ya 288.
  13. Kupendekeza matumizi mazuri ya lugha ya Taifa.
  14. Kupendekeza namna ya malezi ya vijana ili waweze kuwa wazalishaji katika taifa.
  15. Kusimamia uanzishaji wa uendelezaji wa vikundi vya jamii na vya hiari vya wananchi katika Halmashauri kwa mujibu wa sera ya maendeleo ya jamii.
  16. Kuweka mikakati madhubuti ya kuhakikisha kila motto aliyefikia umri wa kwenda shule anafanya hivyo.
  17. Kupendekeza sheria ndogo zinazohusu kamati hizi.

Matangazo

  • Tangazo la matokeo ya zabuni ya ujenzi wa barabara za lami Mjini February 17, 2017
  • mikataba ya zabuni iliyotolewa kwa mwaka wa fedha 2015-2016 na 2016-2017 August 01, 2017
  • Matokeo ya Ununuzi wa Gari la Taka September 12, 2017
  • Tangazo la Zabuni za Mapato September 12, 2017
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Manispaa ya Musoma kujielekeza kuinua Elimu, uchumi kwa wakazi wake

    February 12, 2021
  • Naridhika na Utendaji wenu - Meya

    February 15, 2021
  • Mkuu wa Wilaya asisitiza Chakuka Mashuleni

    February 12, 2021
  • Manispaa ya Musoma yapata Meya Mpya

    December 14, 2020
  • Tazama zote

Video

Hotuba ya aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara
Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Sisi ni nani
  • Dira na Dhamira

Viunganishi Linganifu

  • IKULU
  • Public Service Management
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Musoma Municipal Council

    Sanduku la Posta: Box 194 Musoma

    Simu: 0282622560

    Simu ya Mkononi: +255755215348

    Barua pepe: info@musomamc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.