Idara ya Fedha

IDARA YA FEDHA

Majukumu ya Idara ya Fedha

  1. Kuandaa makisio ya matumizi ya kawaida na maendeleo na
  2. kuwasilisha katika kamati mbalimbali
  3.  Kusimamia mapato na matumizi ya fedha za Serikali
  4.  Kuratibu ukusanyaji wa mapato ya Serikali
  5.  Kusimamia shughuli zote za uhasibu kulingana na kanuni za fedha
  6. Kusimamia uandaaji wa taarifa zote za kihasibu na kuziwasilisha kunako husika