Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika

IDARA YA KILIMO, UMWAGILIAJI NA USHIRIKA

Majukumu ya Idara

1. Kusimamia na kuratibu ukaguzi mazao ngazi ya Halmashauri

2. Kusimamia mtandao wa mawasiliano ngazi ya Halmashauri.

3. Kuandaa utabiri wa uzalishaji mazao ngazi ya Halmashauri

4. Kufuatilia upelekaji wa taaluma ya uzalishaji mazao ngazi ya

Halmashauri.

5. Kuratibu na kufuatilia Programu zote za ugazi katika eneo husika

6. Kushirikiana na taasisi zisizo za kiserikali na mashirika ya umma

yanayojihusisha na uzalishaji, usindikaji na uuzaji wa mazao

7. Kuandaa mahitaji na upatikianaji wa pembejeo

8. Kusimamia udhibiti wa visumbufu vya mazao na mimea katika

ngazi ya Halmashauri

9. Kusimamia/ kuendeleza taaluma ya uzalishaji wa mazao ngfazi

ya Halmashauri

10. Kutafsiri sera kuhusu uendeshaji na uzalishaji mazao.

11. Kuandaa/ kuandika taarifa ya utekelezaji wa sekta ya kilimo

12. Kuandaa program za uendelezaji mazao.

13. Kuratibu huduma za umwagiliaji kwa wakulima

14. Kufanya tathimini ya Mazingira kabla na baada ya miradi ya

umwagiliaji

15. Kuwaelimisha wakulma juu ya sheria za kilimo

16. Kutoa ushauri wa kitaalmi juu ya matumizi ya pembejeo

17. Kushirikiana na vikundi vya wakulima kuhusu matatizo na

teknolojia sahihi za kutumia

18. Kuwafundisha wakulima mbinu bora za kilimo, matumizi ya

mbolea, madawa na pembejeo za kilimo.

19. Kuwafikisha wakulima matokeo ya utafiti

20. Kushirikiana na watafiti kuendesha vishamba vya majaribio

21. Kuandaa bajeti ya kawaida na maendeleo

22. Kukusantya takwimu za bei za mazao kila wiki na kila mwezi

23. Kukusanya takwimu za upatikanaji wa mazao katika masoko kila

wiki/mwezi

24. Kuwatambua wasambazaji wa pembejeo

25. Kuhamasisha uzalishaji wa mazao yab bustani

26. Kusimamia/ kuendeleza uzalishaji wa mbegu bora

27. Kutoa ushauri juu ya uendeshaji wa vyama vya ushirika

28. Kuratibu/kushiriki katika kutoa elimu ya ushirika shirikishi

29. Ukaguzi wa hesabu na kufuatilia uendeshaji wa vyama vya

ushirika kulingana na sheria ya vyama vya ushirika.

30. Kutoa mafunzo kazini juu ya uandikishaji wa vitabu vya hesabu

na kumbukumbu zote muhimu kwa viongozi, waandishi na

watunza hazina wa vyama vya ushirika

31. Kuhamasisha uanzishaji wa vyama vya ushirika

32. Kutoa ushauri juu ya uendeshaji wa vyama vya ushirika

33. Kukagua vitabu vya hesabu na kushauri juu ya uendeshaji wa

vyama vya ushirika

34. Kufanya tathimini ya maendeleo ya vyama vya ushirika na kutoa

ushauri ipasavyo.