Idara ya Maji

IDARA YA MAJI

Majukumu ya Idara ya Maji

1. Kusimamia na kutekelza hali ya upatikanaji wa maji

katika majengo mbalkimbali ya Taasisi zilizo chini ya

Halmashauri ya Manispaa, mfano Ofisi kuu, Shule za

msingi na za Sekondari za Serikali, Zahanati e.t.c

2. Kuwezesha na kufanya matengenezo madogo madogo

ya miundo mbinu ya maji tatizo linapotokea katika

maeneo mbalimbali ya sehemu nilizozitaja hapo juu

ndani ya siku moja.

3. Kutoa Elimu katika jamii zilizokwisha jengewa miradi ya

uvunaji wa maji ya mvua na uchimbaji wa visima ili

viweze kuboreshwa na kutengenezwa kuwa katika hali

bora ya usafi kwa matumizi ya afya ya binadamu.

5. Kusimamia na kutekeleza shughuli zote za maendeleo

ya sekta ya maji kutoka Manispaa, Serikalini na kwa

wadau wengine na kuzitolea taarifa kila robo ya mwaka

na kuzituma Mkoani kwa wakati.