Idara ya Ujenzi

IDARA YA UJENZI

1. Kutoa ushauri kuhusu sera ya sekta ya Ujenzi .

2. Kusimamia mfumo wa sheria kanuni na taratibu za sekta ya

ujenzi kwa nia ya kuboresha ujenzi na matengenezo/ukarabati

wa Barabara madaraja na majengo

3. Kubuni, kusimamia na kuratibu utekelezaji wa miradi ya ujenzi

na matengenezo/ukarabati barabara , madaraja na majengo

4. Kufanya uchambuzi wa kina wa taarifa na takwimu za kujange/

kukarabati barabara madaraja na majengo

5. Kutayarisha taratibu za ununuzi wa makubaliano ya mikataba

inayoihusisha Serikali katika masuala ya Ujenzi wa Barabara

madaraja na majengo

6. Kusimamia utekelzaji wa makubaliano ya mikataba

inayoihusisha Serikali katika masuala ya ujenzi wa Barabara

madaraja na majengo

7. Kutayarisha mipango na bajeti mwaka ya ujenzi na

matengenezo ukarabati wa barabara madaraja na majengo

8. Kutayarisha taarifa za miradi ya maendeleo ya mwezi, robo

mwaka nusu mwaka na mwaka mzima ili kueleza maendeleo ya

kazi ujenzi wa barabara madaraja na majengo

9. Kutoa ushauri wa kitaalam kuhusu matumizi bora ya umeme

kutokana na mendeleo ya kiteknolojia.

10. Kuratibu miradi ya umeme na kutayarisha Programu ya

utekelezaji wa miradi ya umeme

11. Kufanya ukaguzi wa shughuli za umeme ikiwa pamoja na

kuhakiki viwango vya ubora wa huduma hiyo.

12. Kupitia mapendekezo ya miradi ya barabara madaraja na

majengo

13. Kufanya ukaguzi wa majengo ikiwa pamoja na kuhakiki viwango

vya ubora wa majengo

14. Kutoa ushauri wa kitaalamu kuhusu usanifu majengo

15. Kubuni kusimamia na kuratibu utekelezaji wa sera yenye

kuhusisha taalum za wasanifu wa majengo

16. Kuhakikisha kuwa mikakati ya utekelezaji wa sera yenye

kuhusisha taaluma za wasanifu majengo inazingatiwa

17. Kukusanya taarifa na takwimu kuhusu miradi mbalimbali kuhusu

bei za vifaa vya barabara na majengo

18. Kuratibu shughuli za ukadiriaji ujenzi katika ngazi zote (kupokea

mapendekezo, kutathimini mapendekezo kuingia mikataba na

kuanza utekelezaji).

19. Kubuni, kusimamia na kuratibu utekelezaji wa sera ya ujenzi

yenye kuhusisha taaluma za ukadiriaji ujenzi

20. Kuhakikisha kuwa mikakati ya utekelezaji wa sera ya ujenzi

yenye kuhusisha taaluma za ukadiriaji ujenzi inazingatiwa