Idara ya Rasilimali Watu na Utawala

IDARA YA UTAWALA NA UTUMISHI

Majukumu ya Idara.

 1. 1. Majukumu ya Idara ni kutoa michango ya kimkakati kwa Menejimenti
 2. katika mambo yahusuyo Utawala na Menejimenti ya Rasilimali Watu kama
 3. ajira, uendelezaji rasilimaliwatu, uelimishaji, upandishaji vyeo, menejimenti
 4. ya utendaji kazi na kushughulikia maslahi ya watumishi.
 5. 2. Idara inatunza na kuhuisha kumbukumbu za rasilimali watu na kutoa
 6. huduma za kiutawala ili kuhakikisha mazingira mazuri ya kufanyia kazi.
 7. 3. Kuhakikisha kuwa utumishi wa umma unaendeshwa kwa kuzingatia sera,
 8. sheria, kanuni, taratibu na miongozo mbalimbali katika utumishi wa umma;
 9. kufuatilia na kutafsiri sera, sheria, kanuni, taratibu na miongozo ya
 10. utumishi wa umma na kusimamia uwianishaji wa ajira katika utumishi wa
 11. umma ndani ya Halmashauri kwa kufuata kanuni na taratibu zote
 12. zilizowekwa na Serikali.