Kamati ya Elimu, Afya na Huduma za Uchumi

Kamati ya Elimu,Afya na Huduma za Uchumi

Kamati ya elimu,Afya na huduma za Uchumi inaundwa na wajumbe kumi (10).Kamati hii pia hushughulikia mambo yanayohusiana na jitihada za wananchi mitaani kujiletea maendeleo yao kwa kutumia mbinu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kushauri, kushawishi,kuzindua, kuelimisha na kushirikisha wananchi hao hasa katika kutayarisha,kutekeleza,kusimamia na kutathmini mipango yao ya maendeleo.

Kamati ya elimu, afya na huduma za uchumi inaundwa na wajumbe wafuatao:-

David C. Regu:Diwani Kata ya Kamunyonge       - Mwenyekiti

Patrick W.Gumbo:Mstahiki Meya wa Manispaa     - Mjumbe

Ladislaus M.Magesa:Diwani Kata ya Mwisenge    - Mjumbe

Haji M.Mtete:Diwani Kata ya Nyasho                     - Mjumbe

CHristopher M.Sena:Diwani Kata ya Kwangwa     - Mjumbe

Madaraka Kiraka:Diwani Kata ya Rwamlimi          - Mjumbe

Merysiana M.Masasi:Diwani viti Maalumu             - Mjumbe

Rebeka M.Magoma:Diwani viti Maalumu               - Mjumbe

Angela D.Lima:Diwani viti Maalumu                      - Mjumbe


Tumia kiunganishi hapa chini kujifunza zaidi...

Kamati ya Elimu, Afya na Uchumi.pdf