Kamati ya Fedha na Uongozi

KAMATI YA FEDHA NA UONGOZI

Kamati ya fedha na uongozi ni moja kati ya kamati tatu (3) za kudumu, inaundwa na madiwani na madiwani saba (7) ambao ni Mstahiki Meya,Naibu Meya, Wenyeviti wawili (2) wa kamati za kudumu, Madiwani wawili (2) wanaochaguliwa miongoni mwa madiwani pamoja na Mbunge.

Kamati ya fedha na Uongozi kwa kawaida hukaa mara moja kila mwezi kupokea na kujadili taarifa ya fedha. Kamati hii huongozwa na Mstahiki Meya kama mwenyekiti pamoja na Mkurugenzi ambaye ni katibu wa kamati.

Kamati ya fedha na uongozi inaundwa na na wajumbe wafuatao:-

1. Patrick W.Gumbo: Mstahiki Meya                -Mwenyekiti

2.Shaban W.Kaajala:Naibu Meya                    - Mjumbe

3.Charles M. Wambura :Mwenyekiti kamati ya Mipango Miji &Mazingira-Mjumbe

4.David C. Regu:Mwenyekiti kamati ya Elimu,Afya,huduma za Uchumi- Mjumbe

5.Naima Minga                                      -Mjumbe

6. Masumbuko S. Magessa                   -Mjumbe

7.Vedastus M.Mathayo:Mbunge            -Mjumbe

8.Lucas M. Katikiro                                -Mjumbe

9.Zainabu D. Mussiba                            -Mjumbe

 Tumia kiunganishi hapa chini kujifunza zaidi...

KAMATI YA FEDHA NA UONGOZI.pdf