Kamati ya Mipango Miji na Mazingira

Kamati ya Mipango Miji na Mazingira

Kamati ya Mipango Miji na Mazingira inaundwa na wajumbe kumi (10).Kamati hii hushughulikia masuala ya uzalishaji mali ikiwemo kilimo, mifugo,viwanda,madini, Biashara,n.k.Aidha,inashughulika pia na miundo mbinuna suala zima la maendeleo ya ardhi na hifadhi ya mazingira.

Kamati ya elimu, afya na huduma za uchumi inaundwa na wajumbe wafuatao:-

Isaac C. Ng’ariba :Diwani Kata ya Bweri       - Mwenyekiti

Patrick W.Gumbo:Mstahiki Meya wa Manispaa      - Mjumbe

Alex M. Nyabiti:Diwani Kata ya Kigera          - Mjumbe

Lucas M.Katikiro:Diwani Kata ya Buhare         - Mjumbe

Charles M. Wambura:Diwani Kata ya Mshikamano   - Mjumbe

Frank D. Wabare ;Diwani Kata ya Kitaji         - Mjumbe

Ahmad I.Kitumbo:Diwani Kata ya Mwigobero       - Mjumbe

Masumbuko S. Magessa:Diwani Kata ya Nyamatare  - Mjumbe

Naima M. Samson:Diwani viti Maalumu            - Mjumbe

Zainabu D.Musiba:Diwani viti Maalum           - Mjumbe

Tumia kiunganishi hapa chini kujifunza zaidi.

KAMATI YA MIPANGO MIJI.pdf