• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Mrejesho |
    • Lalamika |
Musoma Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Musoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Wasifu wa Kijamii na Kiuchumi wa Halmashauri
      • Viongozi wetu
        • Mayors
        • Municipal Directors
    • Dira na Dhamira
    • Maadili yetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Rasilimali Watu na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mipango Miji na Ardhi
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Usafishaji na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
      • Kitengo cha Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Uhusiano
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Maeneo ya Viwanda
    • Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za maji
    • Maombi ya Huduma
    • Uthibi wa Mazingira
    • Uthibiti wa Misitu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Elimu, Afya na Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili ya Madiwani
    • Ratiba ya vikao
  • Miradi
    • Miradi inayopendekezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Mpango wa Matumizi Bora ya Ardhi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mwongozo wa kushughulikia Malalamiko
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
    • Wasifu wa Kijamii na Kiuchumi wa Halmashauri
    • Miongozo na Nyaraka
    • Sheria ndogo
    • Majarida
    • Council Budget
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba
    • Makala

Bandari kufungua fursa zaidi za Uchumi

Imewekwa: May 16th, 2018

Mkuu wa Wilaya ya Musoma Dr. Vincent Naano ameliambia baraza la madiwani kuwa ujenzi wa Bandari ya Musoma utaanza Mwezi Julai na kuongeza kuwa tayari zabuni ya ujenzi imekwisha tangazwa .

Katika hotuba yake aliyoitoa wakati wa mkutano wa baraza la madiwani lililofanyika jana Dr. Naano aliutaka uongozi wa Manispaa ya Musoma kuhakikisha biashara zote zilizokuwa zinafanyika katika eneo hilo la Bandari zinatafutiwa eneo jingine ikiwa ni pamoja na kuandaa miundo mbinu rafiki kwa wafanya biashara hao.

“Ni vyema sasa Halmashauri ikaanda mpango wa kuwapeleka wafanya biashara wa kuku katika soko la Kamunyonge ili kupisha eneo la Bandari” Alisema Dr. Naano na kuongeza kuwa “Suala la ujenzi wa Bandari halina mjadala tena vi vyema mjipange kuona namna ya kuboresha masoko mengine ili wafanya biashara watakaoondoka eneo la Bandari wapate mahali salama pa biashara zao.”

Dr. Naano aliongeza kuwa serikali ya awamu ya tano imekuwa mstari wa mbele katika kujenga miundo mbinu ya kiuchumi ili kuwawezesha wananchi kuongeza kipato chao na kuiongezea serikali mapato.

Fursa zinazotarajiwa baada ya ukamilishaji wa ujenzi wa Bandari ni pamoja na ajira mpya, ukuaji wa biashara na ongezeko la fursa za masoko zitakazotokana na mwingiliano wa wafanyabiashara na wananchi katika jumuiya ya Afrika Mashariki.

Hata hivyo Dr. Naano ameonya tabia ya baadhi ya watendaji wa Halmashauri kutochukua hatua za haraka katika utatuzi wa kero mbalimbali za wananchi na kusababisha serikali kulaumiwa.

“Tunataka kuona hatua za haraka na za makusudi ili azma ya kuwaletea wananchi maendeleo ionekane kwa vitendo, fursa zitakazoletwa na bandari nani anataka  kuzikosa?.” Alisema Dr. Naano.

Bandari ya Musoma ni kati ya Bandari za kimkakati katika ukanda wa Afrika Mashariki na kukamilika kwake kutafungua mawasiliano kwa nchi za Uganda na Kenya,

Matangazo

  • Tangazo la matokeo ya zabuni ya ujenzi wa barabara za lami Mjini February 17, 2017
  • mikataba ya zabuni iliyotolewa kwa mwaka wa fedha 2015-2016 na 2016-2017 August 01, 2017
  • Matokeo ya Ununuzi wa Gari la Taka September 12, 2017
  • Tangazo la Zabuni za Mapato September 12, 2017
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Magufuli Aikumbuka shule aliyosoma Hayati Baba wa Taifa

    September 06, 2018
  • Siko tayari Watanzania wanyanyasike

    September 05, 2018
  • Magufuli aitangaza Mara kama mkoa wa ukombozi

    September 05, 2018
  • Makamba asisitiza utunzaji wa Mazingira

    September 01, 2018
  • Tazama zote

Video

Hotuba ya aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara
Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Sisi ni nani
  • Dira na Dhamira

Viunganishi Linganifu

  • IKULU
  • Public Service Management
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Musoma Municipal Council

    Sanduku la Posta: Box 194 Musoma

    Simu: 0282622560

    Simu ya Mkononi: +255755215348

    Barua pepe: info@musomamc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.