• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Mrejesho |
    • Lalamika |
Musoma Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Musoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Wasifu wa Kijamii na Kiuchumi wa Halmashauri
      • Viongozi wetu
        • Mayors
        • Municipal Directors
    • Dira na Dhamira
    • Maadili yetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Rasilimali Watu na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mipango Miji na Ardhi
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Usafishaji na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
      • Kitengo cha Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Uhusiano
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Maeneo ya Viwanda
    • Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za maji
    • Maombi ya Huduma
    • Uthibi wa Mazingira
    • Uthibiti wa Misitu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Elimu, Afya na Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili ya Madiwani
    • Ratiba ya vikao
  • Miradi
    • Miradi inayopendekezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Mpango wa Matumizi Bora ya Ardhi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mwongozo wa kushughulikia Malalamiko
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
    • Wasifu wa Kijamii na Kiuchumi wa Halmashauri
    • Miongozo na Nyaraka
    • Sheria ndogo
    • Majarida
    • Council Budget
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba
    • Makala

Magufuli aitangaza Mara kama mkoa wa ukombozi

Imewekwa: September 5th, 2018

Magufuli aitangaza  Mara kama mkoa wa Ukombozi

Rais Magufuli  awataka watendaji wa serikali na wananchi wa mkoa wa Mara kuutazama mkoa wa Mara kama mkoa wa ukombozi.

Akizungumza na wananchi pamoja na viongozi mbalimbali katika viwanja vya shule ya Msingi Mukendo  Manispaa ya Musoma,Rais Magufuli ameahidi kutoutupa Mkoa wa Mara.

“Mkoa wa Mara ni Mkoa  maalum” amesema Rais Magufuli ”lazima tuuenzi Mkoa huu kwa sababu ni Mkoa   wa Ukombozi” ameendelea kusisitiza Rais Magufuli.

Rais Magufuli amesema kwamba kuna watu wameshasahau alichofanya Baba wa Taifa Mwl J.K, Nyerere katika ukombozi wa nchi hii.

 “sisi Watanzani hatujivunii vitu vyetu vizuri ,hata sisi Viongozi tulionufaika na Taifa hili tumesahau yote hayo” alisema Rais Magufuli .

Hata hivyo, Rais amewataka viongozi kuendeleza mipango ya Baba wa Taifa kwa kuboresha shughuli za maendeleo na kuwaasa Viongozi kutekeleza majukumu yao kwa ukamilifu na tija.

“Yote aliyoanzisha baba wa Taifa ni mawazo matakatifu na yaendelezwe, viwanda vyote alivyoanzisha lazima vifufuliwe” na kuongeza “Tukiwa na viwanda matatizo mengi yatatatuliwa ikiwa pamoja na ajira kwa vijana”. Alisema Rais.

Miongoni mwa mipango hiyo ni matumizi ya usafiri wa Meli katika ziwa victori,kufufua kiwanda cha Mutex na viwanda vingine vilivyokufa,pamoja na uboreshaji wa kiwanja cha ndege.

Hivyo katika  kutambua umuhimu wa mkoa huu wa kihistoria pamoja na mambo mengine Rais Magufuli amewajuza   wananchi kuwa serikali imetenga billioni 2 mwaka huu wa fedha kwa ajili ya kumalizia ujenzi wa hospitali ya rufaa ya Kwangwa ambayo ujenzi wake umechukuwa muda mrefu.

Rais pia ametaka hatua stahiki zichukuliwe kwa mwekezaji wa hotel ya Musoma hotel ikiwa ni pamoja na kunyang’anywa kwa kuwa ameshindwa kuiendeleza kwa zaidi ya miaka kumi na kuifanya kuendelea kuchakaa.

Rais pia amemwagiza waziri wa ujenzi na uchukuzi Isaack Kamwene kuhakikisha ujenzi wa barabara ya Musoma Busekela inaanza kujengwa ikiwa ni moja ya ahadi alizozitoa wakati akiomba ridhaa ya kuchaguliwa kuwa rais wa Tanzania.

Ziara ya Rais itaendelea kesho ambapo atatembelea wilaya ya Butiama na Serengeti.

Matangazo

  • Tangazo la matokeo ya zabuni ya ujenzi wa barabara za lami Mjini February 17, 2017
  • mikataba ya zabuni iliyotolewa kwa mwaka wa fedha 2015-2016 na 2016-2017 August 01, 2017
  • Matokeo ya Ununuzi wa Gari la Taka September 12, 2017
  • Tangazo la Zabuni za Mapato September 12, 2017
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Manispaa ya Musoma kujielekeza kuinua Elimu, uchumi kwa wakazi wake

    February 12, 2021
  • Naridhika na Utendaji wenu - Meya

    February 15, 2021
  • Mkuu wa Wilaya asisitiza Chakuka Mashuleni

    February 12, 2021
  • Manispaa ya Musoma yapata Meya Mpya

    December 14, 2020
  • Tazama zote

Video

Hotuba ya aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara
Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Sisi ni nani
  • Dira na Dhamira

Viunganishi Linganifu

  • IKULU
  • Public Service Management
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Musoma Municipal Council

    Sanduku la Posta: Box 194 Musoma

    Simu: 0282622560

    Simu ya Mkononi: +255755215348

    Barua pepe: info@musomamc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.