Wiki ya chanjo Kitaifa

@Vituo vyote vya kutolea huduma za Afya

Maelezo

Wiki ya Chanjo Kitaifa Itafanyika kuanzia tarehe 24.04 hadi tarehe 30.04.2017 katika vituo vyote vya kutolea huduma nchini kote. Mpeleke mtoto wako akapate chanjo