Musoma Municipal Council Intensifies its tarmac road network by 9.867 km addendum

Posted on: March 22nd, 2017

Manispaa ya Musoma itajenga mtandao wa barabara wenye urefu wa kilomita 9.867 utakaogharimu fedha za kitanzania bilioni 9.93 .


Mradi huu unafadhiliwa na Benki ya Dunia.Mradi huu utatekelezwa na mkandarasi aitwaye Nyanza Road Works.


Utiaji saini wa mradi huu ulishuhudiwa na Mheshimiwa mkuu wa Wilaya ya Musoma Mhe. Dr. Vincent Anney Naano. 


Katika hotuba yake pamoja na mambo mengine alisisita mkandarasi kuzingatia ubora wa kazi huku akiahidi kufuatilia kila hatua ya ujenzi huo

 alimtaka mkandarasi kuhakikisha haachi madeni kwa wafanyakazi atakaofanya kazi nao.


Aidha aliwaomba waheshimiwwa Madiwani kutoa ushirikiano na kuhakikisha usalama wa mali za mkandarasi katika maeneo ya kazi.

Barabara zitakazojengwa ni kama ifuatavyo:

Mutex-Buhare   4.554KM

Lumuba             0.337KM

Amri Abeid        0.468KM

Rutiginga           0.259KM

Makongoro        0.673KM

Nyasho sokoni

   Kipande 1             0.511KM

   Kipande 2             0.257KM

   Kipande 3             0.198KM

   Kipande 4             0.101KM

Gandi                       0.249KM

Uhuru                       0.255KM

Kusaga                    0.237KM

Serengeti                  0.38KM

Maktaba                  0.272KM

Ujenzi unatarajiwa kuanza tarehe 22 Aprl 2017  na kukamilika tarehe 22 Oct 2018