TASAF III

Mpango wa kunusuru kaya maskini kupitia TASAF III ulianza rasmi katika Manispaa ya Musoma tarehe 15/07/2014. Madhumuni ya Mpango huu ni kuziwezesha kaya masikini kupata mahitaji ya msingi na fursa za kujiongezea kipato na kuweka akiba. Wlengwa wa Mpango huu ni kaya masikini katika jamiikwa maeneo ya utekelezaji yaliyoainishwa. Mpango huu ni wa miaka 10 kwa awamu mbili za miaka mitano mitano.TASAF III.pdf