• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Mrejesho |
    • Lalamika |
Musoma Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Musoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Wasifu wa Kijamii na Kiuchumi wa Halmashauri
      • Viongozi wetu
        • Mayors
        • Municipal Directors
    • Dira na Dhamira
    • Maadili yetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Rasilimali Watu na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mipango Miji na Ardhi
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Usafishaji na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
      • Kitengo cha Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Uhusiano
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Maeneo ya Viwanda
    • Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za maji
    • Maombi ya Huduma
    • Uthibi wa Mazingira
    • Uthibiti wa Misitu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Elimu, Afya na Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili ya Madiwani
    • Ratiba ya vikao
  • Miradi
    • Miradi inayopendekezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Mpango wa Matumizi Bora ya Ardhi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mwongozo wa kushughulikia Malalamiko
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
    • Wasifu wa Kijamii na Kiuchumi wa Halmashauri
    • Miongozo na Nyaraka
    • Sheria ndogo
    • Majarida
    • Council Budget
      • New menu item
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba
    • Makala

Makamba asisitiza utunzaji wa Mazingira

Imewekwa: September 1st, 2018

MAKAMBA ASISITIZA UTUNZAJI WA MAZINGIRA

Waziri wa mazingira Mhe. January Makamba ametilia mkazo suala la utunzaji wa  Mazingira ili vizazi vijavyo vinufaike na upendeleo ambao Mungu ameitunuku nchi yetu.

Akizungumza na watendaji wa serikali katika Manispaa ya Musoma Waziri amesisitiza kwamba Ukiharibu Mazingira Umeharibu  Uumbaji, hivyo ni wajibu wa Serikali za Mitaa katika uhifadhi wa Mazingira.

Aidha  ameendeelea kutilia mkazo suala la Mazingira endelevu kwa kusema kwamba “Sheria ya Mazingira imewekwa ili Uhifadhi na Udhibiti wa mazingira uwe Endelevu”.

Vilevile amesisitiza Halmashauri  ianze kuteua Maafisa Usimamizi wa Mazingira katika ngazi zote ambapo kazi zao ni Kuhakikisha Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira unakuwa endelevu .

Katika utekelezaji bora wa utunzaji wa Mazingira Waziri ameahidi kutoa Wakufunzi watakaotoa Mafunzo kwa kamati za Mitaa hii yote ni katika kuonesha Serikali ya Awamu ya Tano inajali sana suala la Mazingira.

“Nitawaongezea Wakaguzi  wa Mazingira Idadi  yoyote mtakayohitaji  nitawateua” amesema  Waziri  Makamba  na kusisitiza kwamba ndani ya Mwezi  mmoja wawe wamepata mafunzo.

Pia amesema kuwa sharia inawapa mamlaka  wakaguzi wa Mazingira  kufanya ukaguzi wa mazingira bila kibali na  kwa kushitukiza kwani wanayo Mamlaka  Makubwa katika utekelezaji wa suala hilo.

Ameongeza kuwa “Utunzaji wa Mazingira ni Wajibu wa kila Mmoja wetu katika jamii kushirikiana na sekta  Binafsi pamoja na Serikali kwa ujumla kutunza Mazingira”.

Waziri makamba alikuwa katika ziara ya siku moja katika wilaya ya Musoma ambapo pamoja na mambo mengine amefanya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya mazingira pamoja na uzinduzi wa kitalu cha miti.

Matangazo

  • Tangazo la Watumishi ajira Mpya July 05, 2022
  • Tangazo la nafasi za kazi May 24, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA YA MUDA March 15, 2022
  • TANGAZO LA ZABUNI ZA UJENZI-TARURA November 10, 2017
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Wananchi wahimizwa kushiriki kikamilifu Sensa ya watu na makazi

    June 04, 2022
  • Wananchi Musoma Kufikiwa na huduma ya Maji kwa asilimia 100

    May 26, 2022
  • DC ahimiza Ushirikiano Anuani za Makazi

    March 07, 2022
  • Manispaa ya Musoma kujielekeza kuinua Elimu, uchumi kwa wakazi wake

    February 12, 2021
  • Tazama zote

Video

Hotuba ya aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara
Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Sisi ni nani
  • Dira na Dhamira

Viunganishi Linganifu

  • IKULU
  • Public Service Management
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Musoma Municipal Council

    Sanduku la Posta: Box 194 Musoma

    Simu: 0282622560

    Simu ya Mkononi: +255755215348

    Barua pepe: info@musomamc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.