• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Mrejesho |
    • Lalamika |
Musoma Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Musoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Wasifu wa Kijamii na Kiuchumi wa Halmashauri
      • Viongozi wetu
        • Mayors
        • Municipal Directors
    • Dira na Dhamira
    • Maadili yetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Rasilimali Watu na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mipango Miji na Ardhi
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Usafishaji na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
      • Kitengo cha Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Uhusiano
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Maeneo ya Viwanda
    • Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za maji
    • Maombi ya Huduma
    • Uthibi wa Mazingira
    • Uthibiti wa Misitu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Elimu, Afya na Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili ya Madiwani
    • Ratiba ya vikao
  • Miradi
    • Miradi inayopendekezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Mpango wa Matumizi Bora ya Ardhi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mwongozo wa kushughulikia Malalamiko
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
    • Wasifu wa Kijamii na Kiuchumi wa Halmashauri
    • Miongozo na Nyaraka
    • Sheria ndogo
    • Majarida
    • Council Budget
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba
    • Makala

Uzinduzi wa Baraza la Madiwani

Imewekwa: December 14th, 2020

Uzinduzi wa Baraza la Madiwani wafanyika kwa Amani 

Baraza la Madiwani Manispaa ya Musoma limezinduliwa huku viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla hiyo wakitoa maelekezo mahsusi kuhusu utekelezaji wa shughuli za serikali na wajibu wa madiwani katika usimamizi wa shughuli hizo.

Mapema akizindua mkutano maalum wa uzinduzi wa baraza katibu tawala wa Wilaya ndugu Justine Manko amewaasa madiwani wapya kuwa wajibu ulioko mbele yao ni kuhakikisha Halmashauri inasonga mbele kwa kusimamia uwajibikaji na huduma za Wananchi.

“Baraza la madiwani lina kazi kubwa mbele yake kuhakikisha linasiamia shughuli zote hasa ujenzi wa vyumba vya madarasa” Alisema.

Aliongeza kuwa vyumba vya madarasa vinavyohitajika ni 23 kwa shule za sekondari.

“Meya atakayechaguliwa leo ahakikishe kuwa maendeleo yanakwenda Kata zote bila kuwepo na ubaguzi” Alisisitiza.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Musoma Mhe. Vincent Naano alisisitiza kuwa utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi ni jambo la kufa na kupona huku akifafanua kuwa ilani ni mkataba kati ya Wananchi na Madiwani waliochaguliwa.

“ Kasimamieni kwa dhati huduma za Wananchi kama afya, Elimu na shughuli za kiuchumi kama ujasiriamali”. Alisema Mhe. Naano

Aidha, Mhe. Naano alipendekeza uanzishwaji wa maabara moja ya sayansi kwa shule za sekondari kwa kila mwaka pamoja na uanzishwaji wa shule moja ya bweni ya wasichana.

Kuhusu suala la uwajibikaji wa baraza na watumishi Mhe. Naano aliwataka kwa pamoja kubuni njia na mikakati endelevu katika kuwaendeleza Wananchi kiuchumi.

“ Shughulikieni vipaumbele kama vilivyoelezwa kwenye ilani ya uchaguzi kama kulinda na kuimarisha usawa na utu, kuimarisha uchumi wa kisasa na kuleta mageuzi ya kilimo cha kisasa”. Alisema Mhe. Naano.

Baraza la madiwani linaundwa na jumla ya madiwani wa kuchaguliwa 16, viti maalum 6 pamoja na mbunge wa jimbo ambapo kati ya madiwani 23, madiwani 20 wanatokana na Chama Cha Mapinduzi na Madiwani wawili kutoka Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.

Matangazo

  • Tangazo la matokeo ya zabuni ya ujenzi wa barabara za lami Mjini February 17, 2017
  • mikataba ya zabuni iliyotolewa kwa mwaka wa fedha 2015-2016 na 2016-2017 August 01, 2017
  • Matokeo ya Ununuzi wa Gari la Taka September 12, 2017
  • Tangazo la Zabuni za Mapato September 12, 2017
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • DC ahimiza Ushirikiano Anuani za Makazi

    March 07, 2022
  • Manispaa ya Musoma kujielekeza kuinua Elimu, uchumi kwa wakazi wake

    February 12, 2021
  • Naridhika na Utendaji wenu - Meya

    February 15, 2021
  • Mkuu wa Wilaya asisitiza Chakula Mashuleni

    February 12, 2021
  • Tazama zote

Video

Hotuba ya aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara
Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Sisi ni nani
  • Dira na Dhamira

Viunganishi Linganifu

  • IKULU
  • Public Service Management
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Musoma Municipal Council

    Sanduku la Posta: Box 194 Musoma

    Simu: 0282622560

    Simu ya Mkononi: +255755215348

    Barua pepe: info@musomamc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.