• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Mrejesho |
    • Lalamika |
Musoma Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Musoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Wasifu wa Kijamii na Kiuchumi wa Halmashauri
      • Viongozi wetu
        • Mayors
        • Municipal Directors
    • Dira na Dhamira
    • Maadili yetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi na Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Uhifadhi Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
          • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
            • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Maeneo ya Viwanda
    • Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za maji
    • Maombi ya Huduma
    • Uthibi wa Mazingira
    • Uthibiti wa Misitu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Elimu, Afya na Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili ya Madiwani
    • Ratiba ya vikao
  • Miradi
    • Miradi inayopendekezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Mpango wa Matumizi Bora ya Ardhi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mwongozo wa kushughulikia Malalamiko
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
    • Wasifu wa Kijamii na Kiuchumi wa Halmashauri
    • Miongozo na Nyaraka
    • Sheria ndogo
    • Majarida
    • Council Budget
      • New menu item
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba
    • Makala

WANAFUNZI 11 WAREJESHWA KUENDELEA NA MASOMO MANISPAA YA MUSOMA

Imewekwa: July 30th, 2025

Kamati jumuishi ya wilaya ya Kurejesha wanafunzi walioacha shule (DSIATs) Halmashauri ya Manispaa ya Musoma imefanikiwa kuwarejesha shuleni jumla ya wanafunzi 11 kati ya 32 waliokuwa wameacha (Dropout) kwa sababu mbalimbali.

Jitihada za kuwarejesha wanafunzi hao zimefanywa kwa ushirikiano mkubwa kati ya kamati ya DSIATs, wazazi na walimu katika shule mbalimbali za msingi katika Manispaa ya Musoma.

Akieleza mafanikio ya kamati jumuishi ya wilaya ya kurejesha wanafunzi walioacha shule, mjumbe kamati ndugu Edwin Nyaoko amesema takwimu zinaoneshakuwa jumla ya wanafunzi 32 walidondoka kuendelea na masomo ambapo kati ya hao wanaume walikuwa 15 na wanawake 17.

Ndugu Nyaoko ameongeza kuwa wanafunzi walioacha shule katika vipindi tofauti wanatoka katika shule 10 za msingi.

Amezitaja shule hizo kuwa ni pamoja na Kambarage A, Musoma, Iringo B, Nyang’ombori, Kigera B, Kwangwa, Kamunyonge A, Nyarigamba B, Azimio na Rwamlimi B.

Aidha, ndugu Nyaoko ameendelea kueleza kuwa kamati ilibaini kuwa wanafunzi watano hawakuacha shule isipokuwa wakihamishwa kiholela bila kufuata taratibu za uhamisho kutoka shule mama.

Kuhusu sababu za wanafunzi hao kuacha shule ni pamoja na wazazi/ walezi wa Watoto hao kuachana na wazazi kuhama makazi kwa sababu mbalimbali.

Kamati ya DSIATs inaendelea na jitihada za makusudi kuhakikisha wanafunzi wote walioacha shule wanarejeshwa shule kuendelea na masomo.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 06, 2025
  • Terms of Reference for the provision of construction supervision consultancy services for urban infrastructure development in Musoma Municipality under the TACTIC Project March 06, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI WA MAHOJIANO October 03, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI WA MAHOJIANO October 03, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI 11 WAREJESHWA KUENDELEA NA MASOMO MANISPAA YA MUSOMA

    July 30, 2025
  • RC MTAMBI AIPONGEZA MANISPAA YA MUSOMA KWA KUPATA HATI SAFI YA UKAGUZI

    June 02, 2025
  • Mvua iliyoambatana na upepo yasababisha maafa Manispaa ya Musoma

    March 24, 2025
  • UKAGUZI WA MIRADI

    November 05, 2024
  • Tazama zote

Video

Hotuba ya aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara
Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Sisi ni nani
  • Dira na Dhamira

Viunganishi Linganifu

  • IKULU
  • Tovuti ya Mikopo ya wajasiriamali
  • Public Service Management
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Musoma Municipal Council

    Sanduku la Posta: Box 194 Musoma

    Simu: 0282622560

    Simu ya Mkononi: +255754013734

    Barua pepe: info@musomamc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.