• Wasiliana Nasi |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • feedback |
    • Complain |
Musoma Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Musoma Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
      • Social Economic Profile
      • Our Leaders
        • Mayors
        • Municipal Directors
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Department of Community Development and social Welfare
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
    • Units
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Internal Audit Unit
      • Kitengo cha Usimamizi na Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Uhifadhi Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
          • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
            • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industrial Areas
    • Transportation
  • Our services
    • Health
    • Education
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fisheries
    • Water facililies
    • Application for services
    • Environmental management
    • Forest Management
  • Councilors
    • List of Councillors
    • Standing Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Education, Health and Economic Services Committee
      • Town Planning and Environment Committee
      • HIV AIDS Control Committee
      • Councillors Integrity Committee
    • Meeting schedule
  • Projects
    • Proposed Projects
    • On Going Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Reports
    • General Planning Scheme
    • Client Service Charter
    • Council Grievances Guidelines
    • Forms
    • Strategic Plan
    • Social Economic Profile
    • Securals and guidelines
    • By Laws
    • Journals
    • Council Budget
      • New menu item
  • Media Center
    • Video Gallery
    • Photo Gallery
    • Releases and Statements
    • Speeches
    • Feature Articles

Mazingira Day Butiama

Posted on: June 4th, 2017

Maadhimisho ya siku ya Mazingira kitaifa yaleta Neema Mara


Serikali imeahidi kuutunza msitu wa Mhunda uliopo kijiji cha Butiama mkoa wa Mara msitu uliopandwa na Baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere imefahamika.

Akihutubia katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Mazingira duniani yaliyoadhimishwa kitaifa mkoa wa Mara wilaya ya Butiama, makamu wa rais mhe. Samia Suluhu Hassan alisema kuanzia sasa serikali itachukua hatua madhubuti katika kuuhifadhi msitu wa mhunda.

Alisema serikali imekuwa mstari wa mbele katika kuhifadhi mazingira na kutoa wito kwa wananchi wote kuhakikisha mazingira yanatunzwa kwa manufaa ya maendeleo ya sasa na baadae.

Akielezea kauli mbiu ya dunia katika kilele cha maadhimisho hayo Mhe. Samia alisema dunia mwaka huu inatoa ujumbe mzito kwa wakazi wa dunia kwa kuwakumbusha kuunganika na mazingira kama nyenzo muhimu katika kuwaletea maendeleo na kuishi salama.

“Uchafuzi wa mazingira unatishia uhai wa wakazi wote wa dunia,kwa kuwa mazingira yanaendelea kuchafuliwa kwa kasi kubwa. Vilevile, tumeshuhudia siku za karibuni mito,visima na viumbe vya majini vikipungua kutokana na uchafuzi wa mazingira” alisema.

Aliongeza kuwa ” Serikali imejipanga ipasavyo kuhakikisha hali ya uchafuzi wa mazingira inadhibitiwa na ndio maana serikali imeamua kwa kuanzia kuutunza msitu uliopandwa na mwl. Nyerere”.

Aidha Mhe. Samia alisisitiza kuwa srea ya serikali ya awamu ya tano ya Tanzania ya viwanda kamwe haiwezi fikiwa ikiwa utunzaji wa mazingira hautazingatiwa na kupewa msukumo na wananchi wote.

“Nawaagiza wakuu wote wa mkoa na Wilaya kuhakikisha kila mwaka wanapanda miti isiyopungua milioni 1.5 ili kurudisha mazingira katika hali nzuri” Alisema.

Maadhimisho ya siku ya mazingira duniani huazimishwa kila mwaka tarehe 05 mwezi wa sita ambapo mwaka huu maadhimisho yalifanyika mkoani Mara wilaya ya Butiama.

Announcements

  • A Call for interview June 06, 2025
  • Terms of Reference for the provision of construction supervision consultancy services for urban infrastracture development in Musoma Municipality under the TACTIC Project March 06, 2025
  • CALL FOR ORAL INTERVIEW October 03, 2024
  • CALL FOR ORAL INERVIEW October 03, 2024
  • View All

Latest News

  • RC MTAMBI APPLAUSES MUSOMA MUNICIPAL COUNCIL

    August 12, 2025
  • 11 Pupuls retained after having droped out from school

    July 30, 2025
  • RC MTAMBI RC MTAMBI COMMEND MUSOMA MUNICIPAL COUNCIL FOR UNQUALIFIED AUDIT OPINION

    June 02, 2025
  • Hurricane affects property in Musoma Municipal Council

    March 24, 2025
  • View All

Video

Hotuba ya aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara
More Videos

Quick Links

  • Who we are
  • Vision and Mission

Related Links

  • State House
  • Tovuti ya mikopo ya wajasiriamali
  • Public Service Management
  • PO-RALG
  • National Bereau of Statistics
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Musoma Municipal Council

    Postal Address: Box 194 Musoma

    Telephone: 0282622560

    Mobile: +255754013734

    Email: info@musomamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.