• Wasiliana Nasi |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • feedback |
    • Complain |
Musoma Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Musoma Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
      • Social Economic Profile
      • Our Leaders
        • Mayors
        • Municipal Directors
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Department of Community Development and social Welfare
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
    • Units
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Internal Audit Unit
      • Kitengo cha Usimamizi na Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Uhifadhi Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
          • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
            • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industrial Areas
    • Transportation
  • Our services
    • Health
    • Education
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fisheries
    • Water facililies
    • Application for services
    • Environmental management
    • Forest Management
  • Councilors
    • List of Councillors
    • Standing Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Education, Health and Economic Services Committee
      • Town Planning and Environment Committee
      • HIV AIDS Control Committee
      • Councillors Integrity Committee
    • Meeting schedule
  • Projects
    • Proposed Projects
    • On Going Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Reports
    • General Planning Scheme
    • Client Service Charter
    • Council Grievances Guidelines
    • Forms
    • Strategic Plan
    • Social Economic Profile
    • Securals and guidelines
    • By Laws
    • Journals
    • Council Budget
      • New menu item
  • Media Center
    • Video Gallery
    • Photo Gallery
    • Releases and Statements
    • Speeches
    • Feature Articles

RC MTAMBI APPLAUSES MUSOMA MUNICIPAL COUNCIL

Posted on: August 12th, 2025

RC MTAMBI AWAHIMIZA WANANCHI, WAFANYABIASHARA KUCHANGAMKIA FURSA ZITOKANAZO NA MIRADI MIPYA.

Mkuu wa mkoa wa mara kanali Evans Mtambi amewataka wananchi na wafanyabiashara manispaa ya musoma kuchangamkia fursa zitakazo kwenda kujitokeza baada ya kukamilika kwa miradi mbalimbali ya kimaendeleo inayoendelea kufanyika na ile itakayo anza hivi karibuni.

Ameyasema hayo alipokua akihutubia katika hafla ya utiaji saini mikataba ya ujenzi wa kituo cha mabasi bweri ,soko la nyasho pamoja na ujenzi wa barabara za mukendo ,shabani na musoma basi hadi sanane zenye jumla ya kilometres 3.3 ukiwa ni mradi wa uboreshaji miundombinu ya miji ya Tanzania (TACTIC) iliyofanyika katika viwanja vya nyasho stand.

Aidha kanali Mtambi amewataka wafanyabiashara kujipanga wakati huu ambapo miradi hii inapokwenda kuanza kuzitambua fursa mapema ili waweze kujiongezea kipato na kujikwamua kiuchumi. amesema

"Tunatarajia watalii watatua hapa ,sasa niwatake wale wenye uwezo katika nyanja mbalimbali, wafanyabiashara wakati wa kujipanga ni sasa anzeni kujenga mahotel sasa "

Lakini pia amewataka wananchi wa manispaa ya musoma kuhakikisha wanaitunza miradi hiyo mipya itakayojengwa na ile ya zamani ili ziweze kua na manufaa endelevu kwao na taifa kiujumla.

Miradi hii itagharimu takribani billion 19.975 fedha inayofadhiliwa na serikali kuu kupitia mkopo wa benki ya dunia wenye thamani ya dola za kimarekani million 410 bila VAT ukiwa na lengo la uboreshaji wa miundombinu ya miji ya Tanzania.

miradi itakayotekelezwa ni pamoja na ujenzi wa kituo cha mabasi Bweri, soko la Nyasho, barabara za katikati ya mji za Mukendo( 1.36), Shabani (m 500) na Musoma Bus- Sanane (1.5) na ujenzi wa jengo la usimamizi na uratibu wa miradi. 

Announcements

  • A Call for interview June 06, 2025
  • Terms of Reference for the provision of construction supervision consultancy services for urban infrastracture development in Musoma Municipality under the TACTIC Project March 06, 2025
  • CALL FOR ORAL INTERVIEW October 03, 2024
  • CALL FOR ORAL INERVIEW October 03, 2024
  • View All

Latest News

  • RC MTAMBI APPLAUSES MUSOMA MUNICIPAL COUNCIL

    August 12, 2025
  • 11 Pupuls retained after having droped out from school

    July 30, 2025
  • RC MTAMBI RC MTAMBI COMMEND MUSOMA MUNICIPAL COUNCIL FOR UNQUALIFIED AUDIT OPINION

    June 02, 2025
  • Hurricane affects property in Musoma Municipal Council

    March 24, 2025
  • View All

Video

Hotuba ya aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara
More Videos

Quick Links

  • Who we are
  • Vision and Mission

Related Links

  • State House
  • Tovuti ya mikopo ya wajasiriamali
  • Public Service Management
  • PO-RALG
  • National Bereau of Statistics
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Musoma Municipal Council

    Postal Address: Box 194 Musoma

    Telephone: 0282622560

    Mobile: +255754013734

    Email: info@musomamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.