• Wasiliana Nasi |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • feedback |
    • Complain |
Musoma Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Musoma Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
      • Social Economic Profile
      • Our Leaders
        • Mayors
        • Municipal Directors
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Department of Community Development and social Welfare
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
    • Units
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Internal Audit Unit
      • Kitengo cha Usimamizi na Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Uhifadhi Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
          • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
            • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industrial Areas
    • Transportation
  • Our services
    • Health
    • Education
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fisheries
    • Water facililies
    • Application for services
    • Environmental management
    • Forest Management
  • Councilors
    • List of Councillors
    • Standing Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Education, Health and Economic Services Committee
      • Town Planning and Environment Committee
      • HIV AIDS Control Committee
      • Councillors Integrity Committee
    • Meeting schedule
  • Projects
    • Proposed Projects
    • On Going Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Reports
    • General Planning Scheme
    • Client Service Charter
    • Council Grievances Guidelines
    • Forms
    • Strategic Plan
    • Social Economic Profile
    • Securals and guidelines
    • By Laws
    • Journals
    • Council Budget
      • New menu item
  • Media Center
    • Video Gallery
    • Photo Gallery
    • Releases and Statements
    • Speeches
    • Feature Articles

Hurricane affects property in Musoma Municipal Council

Posted on: March 24th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Musoma Mhe. Juma Chikoka Leo Machi 24, 2025 ametembelea maeneo mbalimbali yaliyoathirika na mvua iliyoambatana na upepo mkali usiku wa  tarehe Machi 23, Machi 2025


Maeneo yaliyoathirika na kadhia hiyo ni taasisi za umma na binafsi, nyumba za kuishi, miundombinu ya umeme na simu, Miti pamoja na maeneo ya biashara.


Taasisi za umma zilizoathirika ni pamoja na bweni la wanafunzi katika shule ya msingi Mwembeni, shule ya msingi Iringo 'A' na 'B', jengo la TTCL, Bahari ya Tanesco Mkoa, pamoja na baadhi ya majengo katika Uwanja wa ndege ambapo uharibifu uliofanyika ni kuezuliwa kwa paa katika majengo husika.


Aidha, taasisi binafsi zilizoathirika ni pamoja na kituo cha mafuta cha Tan oil kilichopo kitaji, sehemu ya ukuta wa kanisa katoliki Jimbo la Musoma, Uwanja wa mpira karume, msikiti wa BAKWATA Kitaji( paa), kumbi za burudani za contena pamoja na Serengeti( paa).


Taarifa za awali zinaonesha zaidi ya nyumba 180 zimeathirika na mvua hiyo kwa kuezuliwa kwa paa na baadhi ya kuta kuanguka.


Mhe. Chikoka ameunda timu ya wataalamu kufanya tathimini ya kina kubaini uharibifu halisi ulisababishwa na mvua hiyo na tayari timu hiyo imeanza kazi.


DC Chikoka ameiagiza kamati ya maafa kusimamia taratibu zote za upatikanaji wa malazi na chakula kwa waathirika ambao hawana mahali pa kulala ikiwa ni hatua za dharura zilizochukuliwa ili kupunguza athari zilizotokana na uharibifu wa Mali kwa waathirika hao


Jumla ya Kata kumi zimeathirika na uharibifu uliotakana na mvua hiyo.













ReplyForward


Add reaction










Announcements

  • Terms of Reference for the provision of construction supervision consultancy services for urban infrastracture development in Musoma Municipality under the TACTIC Project March 06, 2025
  • WRITTEN INTERVIEW RESULTS FOR MTENDAJI WA MTAA III October 05, 2024
  • CALL FOR ORAL INTERVIEW October 03, 2024
  • CALL FOR ORAL INERVIEW October 03, 2024
  • View All

Latest News

  • Hurricane affects property in Musoma Municipal Council

    March 24, 2025
  • PROJECT SUPERVISION

    November 05, 2024
  • Watumishi waaswa kuchapa kazi bila kujali uchache wao

    September 08, 2022
  • Dc musoma ataka ubunifu katika uanzishaji wa miradi ya kuongeza kipato

    September 08, 2022
  • View All

Video

Hotuba ya aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara
More Videos

Quick Links

  • Who we are
  • Vision and Mission

Related Links

  • State House
  • Tovuti ya mikopo ya wajasiriamali
  • Public Service Management
  • PO-RALG
  • National Bereau of Statistics
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Musoma Municipal Council

    Postal Address: Box 194 Musoma

    Telephone: 0282622560

    Mobile: +255754013734

    Email: info@musomamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.