• Wasiliana Nasi |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • feedback |
    • Complain |
Musoma Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Musoma Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
      • Social Economic Profile
      • Our Leaders
        • Mayors
        • Municipal Directors
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Department of Community Development and social Welfare
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
    • Units
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Internal Audit Unit
      • Kitengo cha Usimamizi na Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Uhifadhi Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
          • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
            • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industrial Areas
    • Transportation
  • Our services
    • Health
    • Education
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fisheries
    • Water facililies
    • Application for services
    • Environmental management
    • Forest Management
  • Councilors
    • List of Councillors
    • Standing Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Education, Health and Economic Services Committee
      • Town Planning and Environment Committee
      • HIV AIDS Control Committee
      • Councillors Integrity Committee
    • Meeting schedule
  • Projects
    • Proposed Projects
    • On Going Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Reports
    • General Planning Scheme
    • Client Service Charter
    • Council Grievances Guidelines
    • Forms
    • Strategic Plan
    • Social Economic Profile
    • Securals and guidelines
    • By Laws
    • Journals
    • Council Budget
      • New menu item
  • Media Center
    • Video Gallery
    • Photo Gallery
    • Releases and Statements
    • Speeches
    • Feature Articles

Dc ahimiza ushirikiano Anuani za Makazi

Posted on: March 7th, 2022

DC Ahimiza Ushirikiano katika zoezi la Anuani za Makazi

Mkuu wa Wilaya ya Musoma Mhe. Halfany Haule amewataka wenyeviti wa Mitaa kuacha mara moja kutanguliza maslahi binafsi na badala yake watangulize maslahi ya taifa katika utekelezaji wa zoezi la anuani za makazi.

“Wapo baadhi ya wenyeviti wa Mitaa ambao hawatoi ushirikiano wa kutosha katika kufanikisha zoezi hili la anuani za makazi kwa wataalamu, hii sio sawa natoa wito kwa wenyeviti kutanguliza maslahi ya taifa mbele” alisema Mhe. Haule.

Mhe. Haule ametoa rai hiyo katika mkutano wa  baraza la madiwani kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Manispaa ya Musoma.

Mkuu wa Wilaya ameendelea kusisitiza kuwa zoezi la anuani za makazi lina manufaa makubwa kwa wananchi, hivyo linatakiwa kufanywa kwa weledi na kujituma ili kufikia malengo yaliyowekwa.

Aidha, Mhe. Haule amesisitiza kuwa muda uliowekwa kwa zoezi hili ni mdogo, wataalam wanatakiwa kutumia jitihada mbalimbali kukamilisha zoezi kwa wakati na kwa ubora unaohitajika.

Kwa upande mwingine Mhe. Haule amewataka watumishi kufanya kazi kwa tija na kuonya kuwa watumishi wazembe hawavumiliki hasa katika Serikali ya awamu ya  sita.

Amewaelekeza pia watendaji wa Kata na Mitaa kuhakikisha wajasiriamali maarufu kama machinga hawarudi katika maeneo waliyoondolewa na mtendaji yoyote atakakaeshindwa kutekeleza hatua stahiki zitachukuliwa dhidi yake.

Mkutano wa baraza la Madiwani umepokea na limepitisha taarifa na maazimo mbalimbali kutoka katika kamati za kudumu   

Announcements

  • Terms of Reference for the provision of construction supervision consultancy services for urban infrastracture development in Musoma Municipality under the TACTIC Project March 06, 2025
  • WRITTEN INTERVIEW RESULTS FOR MTENDAJI WA MTAA III October 05, 2024
  • CALL FOR ORAL INTERVIEW October 03, 2024
  • CALL FOR ORAL INERVIEW October 03, 2024
  • View All

Latest News

  • Hurricane affects property in Musoma Municipal Council

    March 24, 2025
  • PROJECT SUPERVISION

    November 05, 2024
  • Watumishi waaswa kuchapa kazi bila kujali uchache wao

    September 08, 2022
  • Dc musoma ataka ubunifu katika uanzishaji wa miradi ya kuongeza kipato

    September 08, 2022
  • View All

Video

Hotuba ya aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara
More Videos

Quick Links

  • Who we are
  • Vision and Mission

Related Links

  • State House
  • Tovuti ya mikopo ya wajasiriamali
  • Public Service Management
  • PO-RALG
  • National Bereau of Statistics
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Musoma Municipal Council

    Postal Address: Box 194 Musoma

    Telephone: 0282622560

    Mobile: +255754013734

    Email: info@musomamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.