• Wasiliana Nasi |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • feedback |
    • Complain |
Musoma Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Musoma Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
      • Social Economic Profile
      • Our Leaders
        • Mayors
        • Municipal Directors
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Department of Community Development and social Welfare
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
    • Units
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Internal Audit Unit
      • Kitengo cha Usimamizi na Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Uhifadhi Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
          • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
            • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industrial Areas
    • Transportation
  • Our services
    • Health
    • Education
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fisheries
    • Water facililies
    • Application for services
    • Environmental management
    • Forest Management
  • Councilors
    • List of Councillors
    • Standing Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Education, Health and Economic Services Committee
      • Town Planning and Environment Committee
      • HIV AIDS Control Committee
      • Councillors Integrity Committee
    • Meeting schedule
  • Projects
    • Proposed Projects
    • On Going Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Reports
    • General Planning Scheme
    • Client Service Charter
    • Council Grievances Guidelines
    • Forms
    • Strategic Plan
    • Social Economic Profile
    • Securals and guidelines
    • By Laws
    • Journals
    • Council Budget
      • New menu item
  • Media Center
    • Video Gallery
    • Photo Gallery
    • Releases and Statements
    • Speeches
    • Feature Articles

Dc musoma ataka ubunifu katika uanzishaji wa miradi ya kuongeza kipato

Posted on: September 8th, 2022

DC Musoma ataka ubunifu katika uanzishaji wa miradi  ya kuongeza kipato

Mkuu wa wilaya ya Musoma Dr. Khalfany Haule amewaomba viongozi wa Manispaa ya Musoma wakiwemo madiwani kujenga mahusiano mazuri na wananchi lengo ikiwa ni kutengeneza na kutekeleza mipango ya maendeleo ndani ya Manispaa ya Musoma.

Akizungumza kwenye mkutano wa Baraza la Madiwaniuliofanyika  jana ndani ya ukumbi wa Manispaa ya Musoma, Dr Haule alilitaka baraza la madiwani kujidhatiti katika kubuni na kuanzisha miradi mikubwa ya mapato itakayoiingizia mapato Halmashauri.

"Ni wakati sasa wa Manispaa yetu kubuni miradi mbalimbali ya Maendeleo ikiwemo sehemu za michezo ya watoto, sehemu nzuri ya kupumzikia, vilevile kubuni viwanda vidogo vidogo vya kutengeneza bidhaa ikiwemo chupa za dripu za maji zitakazotumika kwenye vituo vya Afya lengo ikiwa ni kuondokana na gharama zisizo za lazima za kuagiza vifaa kutoka sehemu nyingine na pia kutengeneza fursa kwa vijana ndani ya Manispaa " alisema Dr Haule.

Kwa upande mwingine Dr. Haule ametoa salamu kutoka serikali kuu, akiwashukuru viongozi wa manispaa ya musoma kwa utekelezaji mzuri wa zoezi la sensa lililofanyika kuanzia tarehe 23/08/2022 kwani zoezi limefikia asilimia mia moja  na malengo yametimia, kwa upande wa majengo ilikadiriwa kufikia 38000 lakini majengo zaidi ya 39000 yamehesabiwa.

Mkutano wa kawaida wa baraza la madiwani ulikutana kujadili taarifa za utekelezaji wa shughuli mbalimbali za Halmashauri zilizofanyika robo ya nne yam waka wa fedha 2021/2022.

Announcements

  • Terms of Reference for the provision of construction supervision consultancy services for urban infrastracture development in Musoma Municipality under the TACTIC Project March 06, 2025
  • WRITTEN INTERVIEW RESULTS FOR MTENDAJI WA MTAA III October 05, 2024
  • CALL FOR ORAL INTERVIEW October 03, 2024
  • CALL FOR ORAL INERVIEW October 03, 2024
  • View All

Latest News

  • Hurricane affects property in Musoma Municipal Council

    March 24, 2025
  • PROJECT SUPERVISION

    November 05, 2024
  • Watumishi waaswa kuchapa kazi bila kujali uchache wao

    September 08, 2022
  • Dc musoma ataka ubunifu katika uanzishaji wa miradi ya kuongeza kipato

    September 08, 2022
  • View All

Video

Hotuba ya aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara
More Videos

Quick Links

  • Who we are
  • Vision and Mission

Related Links

  • State House
  • Tovuti ya mikopo ya wajasiriamali
  • Public Service Management
  • PO-RALG
  • National Bereau of Statistics
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Musoma Municipal Council

    Postal Address: Box 194 Musoma

    Telephone: 0282622560

    Mobile: +255754013734

    Email: info@musomamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.