• Wasiliana Nasi |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • feedback |
    • Complain |
Musoma Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Musoma Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
      • Social Economic Profile
      • Our Leaders
        • Mayors
        • Municipal Directors
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Department of Community Development and social Welfare
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
    • Units
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Internal Audit Unit
      • Kitengo cha Usimamizi na Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Uhifadhi Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
          • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
            • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industrial Areas
    • Transportation
  • Our services
    • Health
    • Education
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fisheries
    • Water facililies
    • Application for services
    • Environmental management
    • Forest Management
  • Councilors
    • List of Councillors
    • Standing Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Education, Health and Economic Services Committee
      • Town Planning and Environment Committee
      • HIV AIDS Control Committee
      • Councillors Integrity Committee
    • Meeting schedule
  • Projects
    • Proposed Projects
    • On Going Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Reports
    • General Planning Scheme
    • Client Service Charter
    • Council Grievances Guidelines
    • Forms
    • Strategic Plan
    • Social Economic Profile
    • Securals and guidelines
    • By Laws
    • Journals
    • Council Budget
      • New menu item
  • Media Center
    • Video Gallery
    • Photo Gallery
    • Releases and Statements
    • Speeches
    • Feature Articles

Observe Professionalism -Mayor

Posted on: May 17th, 2018

Watumishi wa Halmashauri ya Manispaa ya Musoma wametakiwa kufanya kazi kwa weledi bila kusubiri kupangiwa kazi na wasimamizi wao ili kuongeza tija katika utendaji wa taasisi.

Hayo yalisemwa jana na Mstahiki Meya wa Manispaa Capt. William Gumbo wakati wa mkutano wa Baraza la Madiwani ulioitishwa kujadili taarifa za utekelezaji robo ya tatu ambapo amezitaka idara zote zenye miradi viporo kuhakikisha zinakamilisha miradi hiyo kwa wakati.

Capt. Gumbo amesisitiza uwajibikaji unaotoa matokeo na kuondokana na utamaduni wa kufanya kazi kwa mazoea hali inayohafifisha ufanisi katika utendaji wa Halmashauri.

“Wakuu wa idara wote wenye miradi hakikisheni ifikapo Juni 30 fedha za miradi zinatumika kukamilisha miradi yote, bila kuathiri sheria na taratibu za matumizi ya fedha hizo.”Alisema Capt. Gumbo

Aidha, Capt. Gumbo aliwasisitiza watendaji wote kushirikiana kwa karibu kwa wakati uliobaki kabla ya mwaka wa fedha kwisha kukusanya mapato ili kufikia lengo la makusanyo Halmashauri ililojiwekea.

Katika hatua nyingine Capt. Gumbo ameeleza kuwa baraza la madiwani limewachukulia hatua za kinidhamu watumishi watano kati ya sita waliofikishwa mbele ya kamati ya madiwani kwa makosa mbalimbali ya kiutumishi.

Hatua ya kinidhamu iliyochukuliwa kwa watumishi hao ni onyo la maandishi baada ya kupatikana na hatua katika mashtaka yaliyokuwa yakiwakabili.

“Kuna baadhi ya watumishi  wanaokiuka kanuni za utumishi, wengine imefikia hatua wanadhalilisha utumishi wa umma. Kwa mfano kuna mtumishi mmoja ni mlevi mpaka inafikia hatua analewa na kuweka koti lake rehani, hatuwezi kuendelea na watumishi kama hawa. Tayari nimemuagiza Mkurugenzi kuanza taratibu za kumfungulia mashtaka ya kiutumishi kwa hatua za kinidhamu kuchukuliwa dhidi yake.” Alisema Capt. Gumbo.

Baraza la Madiwani limelidhia mapendekezo ya ongezeko la gharama za matibabu kutoka shilingi 2000 hadi shilingi Tsh. 5000 kwa wagonjwa wasiotumia Bima katika vituo vya Afya na Zahanati zote za Halmashauri ya Manispaa ya Musoma.

Announcements

  • Terms of Reference for the provision of construction supervision consultancy services for urban infrastracture development in Musoma Municipality under the TACTIC Project March 06, 2025
  • WRITTEN INTERVIEW RESULTS FOR MTENDAJI WA MTAA III October 05, 2024
  • CALL FOR ORAL INTERVIEW October 03, 2024
  • CALL FOR ORAL INERVIEW October 03, 2024
  • View All

Latest News

  • Hurricane affects property in Musoma Municipal Council

    March 24, 2025
  • PROJECT SUPERVISION

    November 05, 2024
  • Watumishi waaswa kuchapa kazi bila kujali uchache wao

    September 08, 2022
  • Dc musoma ataka ubunifu katika uanzishaji wa miradi ya kuongeza kipato

    September 08, 2022
  • View All

Video

Hotuba ya aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara
More Videos

Quick Links

  • Who we are
  • Vision and Mission

Related Links

  • State House
  • Tovuti ya mikopo ya wajasiriamali
  • Public Service Management
  • PO-RALG
  • National Bereau of Statistics
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Musoma Municipal Council

    Postal Address: Box 194 Musoma

    Telephone: 0282622560

    Mobile: +255754013734

    Email: info@musomamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.