• Wasiliana Nasi |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • feedback |
    • Complain |
Musoma Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Musoma Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
      • Social Economic Profile
      • Our Leaders
        • Mayors
        • Municipal Directors
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Department of Community Development and social Welfare
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
    • Units
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Internal Audit Unit
      • Kitengo cha Usimamizi na Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Uhifadhi Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
          • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
            • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industrial Areas
    • Transportation
  • Our services
    • Health
    • Education
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fisheries
    • Water facililies
    • Application for services
    • Environmental management
    • Forest Management
  • Councilors
    • List of Councillors
    • Standing Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Education, Health and Economic Services Committee
      • Town Planning and Environment Committee
      • HIV AIDS Control Committee
      • Councillors Integrity Committee
    • Meeting schedule
  • Projects
    • Proposed Projects
    • On Going Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Reports
    • General Planning Scheme
    • Client Service Charter
    • Council Grievances Guidelines
    • Forms
    • Strategic Plan
    • Social Economic Profile
    • Securals and guidelines
    • By Laws
    • Journals
    • Council Budget
      • New menu item
  • Media Center
    • Video Gallery
    • Photo Gallery
    • Releases and Statements
    • Speeches
    • Feature Articles

Musoma Municipal acquires new Mayor

Posted on: December 14th, 2020

Manispaa ya Musoma yapata Meya Mpya

Halmashauri ya Manispaa ya imepata Meya mpya atakaeiongoza kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.

Katika uchaguzi uliyofanyika kumpata Meya wa Manispaa ya Musoma Mhe. William P. Gumbo (CCM) amechaguliwa kuwa Mstahiki Meya wa Manispaa baada ya kumshinda Mhe. Golden M. Charles (CHADEMA).

Aidha, katika nafasi ya Naibu Meya wa Manispaa, Mhe. Haji Mugeta Mtete (CCM) amechaguliwa kuwa naibu Meya baada ya kumshinda Mhe. Fredrick C. Mganga (CHADEMA).

Akitoa neno la shukrani baada ya kuchaguliwa Mstahiki Meya William Gumbo aliwashukuru wajumbe kwa imani waliyoonesha kwake na kuahidi kuwalipa utumishi uliotukuka.

“Nawaomba Wahe. Madiwani wenzangu mfahamu kuwa tuna kazi kubwa mbele yetu kuhakikisha Halmashauri yetu inapiga hatua, niwaombe ushirikiano ili kufikia malengo yetu yaliyoainishwa vizuri kwenye ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi”. Alisema Mhe. Gumbo.

Aliongeza kuwa “Leo tunaunda kamati za kudumu ambazo ndizo hasa zitasimamia shughuli mbalimbali za kisekta na kutoa matokea chanya katika ujenzi madhubuti wa Manispaa yetu.

Kwa upande wa watumishi Mhe. Gumbo amewataka kutekeleza majukumu yao kwa weledi na ubunifu ili kuleta tija katika huduma mbalimbali za Wananchi.

Mhe. Gumbo pia ameunda kamati mbalimbali za kudumu kwa kuzingatia usawa na ufanisi wa kamati kama ifuatavyo.

Kamati ya Elimu, Afya na huduma za uchumi inaundwa na Mhe. David Cosmas Regu (Mwenyekiti), William Gumbo, Vedastus M. Mathayo, Alex M. Nyabiti na Jumbula Maclaud Rugola.

Wengine ni Mhe. Cleophas Mato Kuboja, Juma Hamis Idd, Mariam Sospeter Jackson na Kulwa P. Mahamba.

Kwa upande wa kamati ya Mipango Miji na Mazingira wajumbe wanaounda kamati ni Mhe. Charles M. Wambura (Mwenyekiti), William P. Gumbo, Vedastus M. Mathayo, Masumbuko S. Magesa na Amina Shabani Masisa.

Wengine ni Abbas M. Chamba, Dickson M. Mwandala, Fredrick C. Mganga, Asha M. Swalehe na Joseph K. Kitina.

Kamati ya kuthibiti UKIMWI inaundwa na Mhe. Haji Mtete (Mwenyekiti), Juma Hamis Idd, Amina Shaban Masisa, Asha M. Swalehe na Mhe. William P. Gumbo.

Kamati ya maadili ya Madiwani inaundwa na Mhe. Juma Hamis Idd (Mwenyekiti), Mariam Sospeter Jackson, Naima Minga Samson na William P. Gumbo.

 Kwa upande wa kamati ya Fedha na Utawala wajumbe ni Mhe. William P. Gumbo (mwenyekiti), Haji M. Mtete, Vedastus M. Mathayo, David C. Regu, Charles M. Wambura, Juma Hamis Idd, Golden Marcus Charles, Erieth Godwin kumila, Marysiana M. Masasi na Naima Minga Samson

Announcements

  • Terms of Reference for the provision of construction supervision consultancy services for urban infrastracture development in Musoma Municipality under the TACTIC Project March 06, 2025
  • WRITTEN INTERVIEW RESULTS FOR MTENDAJI WA MTAA III October 05, 2024
  • CALL FOR ORAL INTERVIEW October 03, 2024
  • CALL FOR ORAL INERVIEW October 03, 2024
  • View All

Latest News

  • Hurricane affects property in Musoma Municipal Council

    March 24, 2025
  • PROJECT SUPERVISION

    November 05, 2024
  • Watumishi waaswa kuchapa kazi bila kujali uchache wao

    September 08, 2022
  • Dc musoma ataka ubunifu katika uanzishaji wa miradi ya kuongeza kipato

    September 08, 2022
  • View All

Video

Hotuba ya aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara
More Videos

Quick Links

  • Who we are
  • Vision and Mission

Related Links

  • State House
  • Tovuti ya mikopo ya wajasiriamali
  • Public Service Management
  • PO-RALG
  • National Bereau of Statistics
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Musoma Municipal Council

    Postal Address: Box 194 Musoma

    Telephone: 0282622560

    Mobile: +255754013734

    Email: info@musomamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.