• Wasiliana Nasi |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • feedback |
    • Complain |
Musoma Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Musoma Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
      • Social Economic Profile
      • Our Leaders
        • Mayors
        • Municipal Directors
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Department of Community Development and social Welfare
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
    • Units
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Internal Audit Unit
      • Kitengo cha Usimamizi na Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Uhifadhi Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
          • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
            • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industrial Areas
    • Transportation
  • Our services
    • Health
    • Education
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fisheries
    • Water facililies
    • Application for services
    • Environmental management
    • Forest Management
  • Councilors
    • List of Councillors
    • Standing Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Education, Health and Economic Services Committee
      • Town Planning and Environment Committee
      • HIV AIDS Control Committee
      • Councillors Integrity Committee
    • Meeting schedule
  • Projects
    • Proposed Projects
    • On Going Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Reports
    • General Planning Scheme
    • Client Service Charter
    • Council Grievances Guidelines
    • Forms
    • Strategic Plan
    • Social Economic Profile
    • Securals and guidelines
    • By Laws
    • Journals
    • Council Budget
      • New menu item
  • Media Center
    • Video Gallery
    • Photo Gallery
    • Releases and Statements
    • Speeches
    • Feature Articles

I have no tolerance left for underpriveledged

Posted on: September 5th, 2018

Siko Tayari  Watanzania Maskini wanyanyasike – Magufuli

Rais Magufuli amewataka viongozi na watendaji wa Serikali kujitathimini katika utendaji wao na kuchukua hatua stahiki katika kuwahudumia wananchi.

Rais amesisitiza viongozi kuweka maslahi ya wananchi mbele na kuondokana na ubinafsi na kutumia vibaya madaraka waliyonayo na kusahau kuwa madaraka hayo yanatokana na wananchi.

Baadhi ya mambo yaliyomsikitisha Rais ni pamoja na kasi ndogo katika kushughulikia kero mbalimbali za wananchi na kutaka hali hiyo ikomeshwe mara moja.

“Madaraka ni ya muda mfupi, lazima viongozi wote wajue hilo. Urais wangu pia ni temporary” Alisema Rais kwa msisitizo.

Rais aliongeza kuwa ikiwa uwajibikaji kwa viongozi utapewa mkazo changamoto nyingi zitatatuliwa bila ulazima wa kumsubiri Rais na kwamba mkoa wa mara kwa asili yake utakuwa umeenziwa.

“Nataka siku moja watu wakija Musoma wajue ndipo mahali alipotoka baba wa Taifa” Alisema Rais.

Viongozi wanatakiwa kujifunza kuwatumikia wananchi na kutatua kero zao.

“Mimi nitaendelea kufukuza hata kama ni kila siku, ili watendaji wafahamu kuwa vyeo walivyonavyo ni dhamana. Ninachofanya ni kata mti panda mti” Alisema Rais Magufuli.

Vile vile aliweka wazi kuwa analojukumu la kuwatumikia wananchi kwa jasho kubwa.

Kwa upande mwingine Rais akijibu ombi la mbunge wa jimbo la Musoma Mjini Vedastus Mathayo kuhusu upanuzi wa eneo la utawala la Manispaa ya Musoma alisema suala hilo lipo ndani ya uwezo wa Manispaa.

“Ni lazima muangalie gharama za upanuzi wa mji wenu. Kupanga ni kuchagua”. Alisema Rais Magufuli.

Rais aliendelea kueleza kuwa upanuzi wa mji upo chini ya mamlaka ya Manispaa kwa mujibu wa sharia na kuitaka Halmashauri kufuata taratibu hizo.

“Hata kama mkitaka kupanua eneo lenu hadi Butiama ni sawa lakini taratibu zifuatwe”. Alisisitiza Rais.

Katika ziara yake katika Manispaa ya Musoma Rais alifungua mradi wa maji eneo la Bukanga, mradi unaokadiriwa kutumia bilioni 51, Ufunguzi wa barabara ya Musoma Simiyu yenye urefu wa km 85.5 pamoja na kutembelea mradi wa ufugaji wa samaki unaofanywa na kikosi cha jeshi la wananchi cha 27 KJ Mkoani Mara.

Announcements

  • A Call for interview June 06, 2025
  • Terms of Reference for the provision of construction supervision consultancy services for urban infrastracture development in Musoma Municipality under the TACTIC Project March 06, 2025
  • CALL FOR ORAL INTERVIEW October 03, 2024
  • CALL FOR ORAL INERVIEW October 03, 2024
  • View All

Latest News

  • RC MTAMBI APPLAUSES MUSOMA MUNICIPAL COUNCIL

    August 12, 2025
  • 11 Pupuls retained after having droped out from school

    July 30, 2025
  • RC MTAMBI RC MTAMBI COMMEND MUSOMA MUNICIPAL COUNCIL FOR UNQUALIFIED AUDIT OPINION

    June 02, 2025
  • Hurricane affects property in Musoma Municipal Council

    March 24, 2025
  • View All

Video

Hotuba ya aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara
More Videos

Quick Links

  • Who we are
  • Vision and Mission

Related Links

  • State House
  • Tovuti ya mikopo ya wajasiriamali
  • Public Service Management
  • PO-RALG
  • National Bereau of Statistics
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Musoma Municipal Council

    Postal Address: Box 194 Musoma

    Telephone: 0282622560

    Mobile: +255754013734

    Email: info@musomamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.