• Wasiliana Nasi |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • feedback |
    • Complain |
Musoma Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Musoma Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
      • Social Economic Profile
      • Our Leaders
        • Mayors
        • Municipal Directors
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Department of Community Development and social Welfare
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
    • Units
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Internal Audit Unit
      • Kitengo cha Usimamizi na Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Uhifadhi Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
          • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
            • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industrial Areas
    • Transportation
  • Our services
    • Health
    • Education
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fisheries
    • Water facililies
    • Application for services
    • Environmental management
    • Forest Management
  • Councilors
    • List of Councillors
    • Standing Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Education, Health and Economic Services Committee
      • Town Planning and Environment Committee
      • HIV AIDS Control Committee
      • Councillors Integrity Committee
    • Meeting schedule
  • Projects
    • Proposed Projects
    • On Going Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Reports
    • General Planning Scheme
    • Client Service Charter
    • Council Grievances Guidelines
    • Forms
    • Strategic Plan
    • Social Economic Profile
    • Securals and guidelines
    • By Laws
    • Journals
    • Council Budget
      • New menu item
  • Media Center
    • Video Gallery
    • Photo Gallery
    • Releases and Statements
    • Speeches
    • Feature Articles

Wananchi Musoma kufikiwa na huduma ya maji kwa asilimia 100

Posted on: May 26th, 2022

Wananchi Musoma kufikiwa na huduma ya Maji  kwa asilimia 100

Tatizo la muda mrefu la upatikanaji wa uhakika wa huduma ya maji kwa baadhi ya maeneo ya Manispaa ya Musoma limepatiwa ufumbuzi na hivi karibuni huduma hiyo itatolewa kwa zaidi ya asilimia 100 kwa mji wote wa Musoma kufuatia uimarishaji wa miundombinu unaoendelea kufanywa na mamlaka ya Maji safi na usafi wa mazingira (MUWASA).

Hatua hiyo inafuatia usimikaji wa mabomba pamoja na miundombinu mingine katika maeneo yote ya pembezoni mwa mji wa Musoma pamoja na kukamilika kwa ujenzi wa matanki ya maji katika eneo la Balima Kata ya Buhare.

Awali akihutubia mkutano wa baraza la madiwani mkuu wa wilaya ya Musoma Mhe. Dr. Khalfany Haule, aliweka bayana mafanikio makubwa yaliyofikiwa katika kuhakikisha huduma ya maji katika Mji wa Musoma inakuwa ya uhakika na kwa watu wote.

Dr. Haule, amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa utendaji uliotukuka na nia yake ya dhati ya kuwaletea Wananchi ustawi hasa katika sekta ya maji.

“Sisi sote ni mashahidi Mhe. Rais hana muhari linapokuja suala la upatikanaji wa huduma ya maji, Rais wetu mpendwa amefanya kila linalowezekana kuhakikisha huduma hii muhimu inawafikia Wananchi wote katika mji wetu” Alisema Dr. Haule.

Dr. aliongeza kuwa “ Mwenye macho haambiwi tazama katika muda mfupi ujao Halmashauri yetu itakuwa moja ya Halmashuri ambazo upatikanaji wa huduma ya maji ni zaidi ya asilimia 100 ”.

Aidha, Dr. Haule ameupongeza utendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Musoma katika ukusanyaji mapato pamoja na usimamizi wa miradi ya maendeleo.

“Nasimamia Halmashauri mbili, lakini Halmashauri hii situmii nguvu kubwa katika kuisimamia, utekelezaji wa miradi ya maendeleo ni wa kutia moyo sana” Alisema Dr. Haule.

Upatikanaji wa Huduma ya maji kwa sasa katika Halmashauri ya Manispaa ya Musoma ni asilimia 85.

Announcements

  • Terms of Reference for the provision of construction supervision consultancy services for urban infrastracture development in Musoma Municipality under the TACTIC Project March 06, 2025
  • WRITTEN INTERVIEW RESULTS FOR MTENDAJI WA MTAA III October 05, 2024
  • CALL FOR ORAL INTERVIEW October 03, 2024
  • CALL FOR ORAL INERVIEW October 03, 2024
  • View All

Latest News

  • Hurricane affects property in Musoma Municipal Council

    March 24, 2025
  • PROJECT SUPERVISION

    November 05, 2024
  • Watumishi waaswa kuchapa kazi bila kujali uchache wao

    September 08, 2022
  • Dc musoma ataka ubunifu katika uanzishaji wa miradi ya kuongeza kipato

    September 08, 2022
  • View All

Video

Hotuba ya aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara
More Videos

Quick Links

  • Who we are
  • Vision and Mission

Related Links

  • State House
  • Tovuti ya mikopo ya wajasiriamali
  • Public Service Management
  • PO-RALG
  • National Bereau of Statistics
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Musoma Municipal Council

    Postal Address: Box 194 Musoma

    Telephone: 0282622560

    Mobile: +255754013734

    Email: info@musomamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.