• Wasiliana Nasi |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • feedback |
    • Complain |
Musoma Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Musoma Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
      • Social Economic Profile
      • Our Leaders
        • Mayors
        • Municipal Directors
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Department of Community Development and social Welfare
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
    • Units
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Internal Audit Unit
      • Kitengo cha Usimamizi na Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Uhifadhi Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
          • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
            • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industrial Areas
    • Transportation
  • Our services
    • Health
    • Education
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fisheries
    • Water facililies
    • Application for services
    • Environmental management
    • Forest Management
  • Councilors
    • List of Councillors
    • Standing Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Education, Health and Economic Services Committee
      • Town Planning and Environment Committee
      • HIV AIDS Control Committee
      • Councillors Integrity Committee
    • Meeting schedule
  • Projects
    • Proposed Projects
    • On Going Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Reports
    • General Planning Scheme
    • Client Service Charter
    • Council Grievances Guidelines
    • Forms
    • Strategic Plan
    • Social Economic Profile
    • Securals and guidelines
    • By Laws
    • Journals
    • Council Budget
      • New menu item
  • Media Center
    • Video Gallery
    • Photo Gallery
    • Releases and Statements
    • Speeches
    • Feature Articles

Wananchi wahimizwa kushiriki kikamilifu Sensa ya watu na makazi

Posted on: June 4th, 2022

Wananchi wahimizwa kushiriki kikamilifu Sensa ya watu na makazi

Mkuu wa wilaya ya Musoma Mhe. Dr. Khalfany Haule ametoa wito kwa Wananchi wote wa Manispaa ya Musoma kushiriki kikamilifu katika zezi la sensa ya watu na makazi linalotarajiwa kufanyika tarehe 23 Agosti mwaka huu

Halmashauri ya Musoma ni miongoni mwa Halmashauri nchini ambazo zitashiriki katika zoezi la sensa ya watu na makazi ambapo katika sensa iliyofanyika mwaka 2012 Manispaa ya Musoma ilikuwa na watu zaidi ya 134,000

“Niwaombe kuhusu zoezi la sensa ya watu na makazi, elimu zaidi iendelee kutolewa ili kila mwananchi ashiriki kikamilifu” Alisema Dr. Haule

Tofauti na mazoezi mengine ya sensa yaliyotangulia zoezi la mwaka huu litafanyika kwa ufanisi zaidi huku dhana ya sensa ya watu na makazi ikionekana kwa uhalisia zaidi.

Hii ni kutokana na juhudi za makusudi za serikali ya awamu ya sita katika kukamilisha operesheni ya anuani za makazi nchi nzima zoezi lililolenga kupata takwimu sahihi za makazi na anuani yanakopatikana makazi hayo.

“ Zoezi la Sensa mwaka huu linategemewa kuwa na ufanisi mkubwa kutokana na serikali ya awamu ya sita kuchukua hatua za makusudi kukamilisha zoezi la anuani za makazi ambalo kwa sehemu kubwa litasaidia katika ufanisi wa zoezi la sensa mwaka huu” Alisema Dr. Haule.

Dr. Haule amesisitiza kuwa maandalizi yote muhimu ikiwa pamoja na ulinzi na usalama yaendelee kufanyika ili kusaidia zoezi hili kufanyika kwa Amani na usalama.

“Kamati za Ulinzi na Usalama za Kata na Mitaa zikae na kujadili masuala ya kiusalama, pamoja kuwapa ushirikiano wa kutosha polisi jamii” Aliongeza Dr. Haule.

Kwa upande wake Mstahiki Meya wa Manispaa ya Musoma Mhe. William Gumbo amempongeza mkuu wa Wilaya kwa juhudi zake na maelekezo anayoyatoa mara kwa mara kwa Halmashauri ambayo yamesaidia kwa kiwango kikubwa mafanikio yanayoonekana sasa.

“Nikuhakikishie Mhe. Dc kuanzia sasa wimbo wetu utakuwa sensa, sense,sense na niwatake watumishi wetu wafanye kazi kwa maarifa yote ili kukamilisha azma njema ya serikali yetu” Alisisitiza Mhe. Gumbo

Zoezi la sensa ya watu na makazi hufanyika kila baada ya miaka kumi ambapo takwimu mbalimbali hukusanywa ili kuisaidia serikali kupanga mipango yake ya maendeleo kwa kuzingatia vigezo mbalimbali ikiwa ni pamoja na idadi.

Announcements

  • Terms of Reference for the provision of construction supervision consultancy services for urban infrastracture development in Musoma Municipality under the TACTIC Project March 06, 2025
  • WRITTEN INTERVIEW RESULTS FOR MTENDAJI WA MTAA III October 05, 2024
  • CALL FOR ORAL INTERVIEW October 03, 2024
  • CALL FOR ORAL INERVIEW October 03, 2024
  • View All

Latest News

  • Hurricane affects property in Musoma Municipal Council

    March 24, 2025
  • PROJECT SUPERVISION

    November 05, 2024
  • Watumishi waaswa kuchapa kazi bila kujali uchache wao

    September 08, 2022
  • Dc musoma ataka ubunifu katika uanzishaji wa miradi ya kuongeza kipato

    September 08, 2022
  • View All

Video

Hotuba ya aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara
More Videos

Quick Links

  • Who we are
  • Vision and Mission

Related Links

  • State House
  • Tovuti ya mikopo ya wajasiriamali
  • Public Service Management
  • PO-RALG
  • National Bereau of Statistics
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Musoma Municipal Council

    Postal Address: Box 194 Musoma

    Telephone: 0282622560

    Mobile: +255754013734

    Email: info@musomamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.