• Wasiliana Nasi |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • feedback |
    • Complain |
Musoma Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Musoma Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
      • Social Economic Profile
      • Our Leaders
        • Mayors
        • Municipal Directors
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Department of Community Development and social Welfare
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
    • Units
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Internal Audit Unit
      • Kitengo cha Usimamizi na Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Uhifadhi Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
          • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
            • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industrial Areas
    • Transportation
  • Our services
    • Health
    • Education
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fisheries
    • Water facililies
    • Application for services
    • Environmental management
    • Forest Management
  • Councilors
    • List of Councillors
    • Standing Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Education, Health and Economic Services Committee
      • Town Planning and Environment Committee
      • HIV AIDS Control Committee
      • Councillors Integrity Committee
    • Meeting schedule
  • Projects
    • Proposed Projects
    • On Going Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Reports
    • General Planning Scheme
    • Client Service Charter
    • Council Grievances Guidelines
    • Forms
    • Strategic Plan
    • Social Economic Profile
    • Securals and guidelines
    • By Laws
    • Journals
    • Council Budget
      • New menu item
  • Media Center
    • Video Gallery
    • Photo Gallery
    • Releases and Statements
    • Speeches
    • Feature Articles

Watumishi waaswa kuchapa kazi bila kujali uchache wao

Posted on: September 8th, 2022

Watumishi waaswa kuchapa  kazi bila kujali uchache wao

Mkurugenzi wa Manispaa ya Musoma Bosco Ndunguru ametolea ufafanuzi juu ya uhamamaji wa wafanyakazi ndani ya Manispaa ya Musoma ufafanuzi huo umetolewa mara baada ya wajumbe wa baraza la Halmashauri kuhoji swali kwenye kikao cha baraza kilichofanyika ndani ya ukumbi wa manispaa juu ya uhamaji wa wafanya kazi wengi kwa pamoja.

Akizungumza kwenye kikao hicho ndugu Ndunguru alitoa sababu mbalimbali zinazofanya wafanyakazi kuhama ikiwemo kukaa karibu na wazazi au walezi wao.

"Ni kweli kumekuwepo na wimbi kubwa la wafanyakazi kuhama ndani ya Manispaa yetu hivyo hii imesababisha baadhi ya idara kupata uhaba wa wafanyakazi mfano mzuri ni ukaguzi na udhibiti bora wa shule hivyo kusababisha baadhi ya shule kutofikiwa kwa wakati” alisema ndugu Ndunguru.

Aliongezakuwa “Wafanyakazi wengi wamekuw awakihama kwa madai ya kuwa wanahitaji kukaa karibu na walezi au familia zao na wanapokuja na vibali vya kuhama sisi hatuna budi kusaini vibali hivyo, ni kweli kwamba mpaka sasa wamehama wafanyakazi 44 na walio ingia ni wafanyakazi 12 tuhiinichangamoto"

Kwa upande wake Mstahiki Meya wa Manispaa ya Musoma Mh. William Gumbo amewataka watumishi kuwajibika ipasavyo kwani ni wajibu wao kutimiza majukumu waliopewa haijalishi kuwepo kwa uchache wao ili kuleta ufanisi wa kazi pamoja na kutekeleza mipango mbalimbali ya maendeleo ndani ya Manispaa ya Musoma.

Announcements

  • Terms of Reference for the provision of construction supervision consultancy services for urban infrastracture development in Musoma Municipality under the TACTIC Project March 06, 2025
  • WRITTEN INTERVIEW RESULTS FOR MTENDAJI WA MTAA III October 05, 2024
  • CALL FOR ORAL INTERVIEW October 03, 2024
  • CALL FOR ORAL INERVIEW October 03, 2024
  • View All

Latest News

  • Hurricane affects property in Musoma Municipal Council

    March 24, 2025
  • PROJECT SUPERVISION

    November 05, 2024
  • Watumishi waaswa kuchapa kazi bila kujali uchache wao

    September 08, 2022
  • Dc musoma ataka ubunifu katika uanzishaji wa miradi ya kuongeza kipato

    September 08, 2022
  • View All

Video

Hotuba ya aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara
More Videos

Quick Links

  • Who we are
  • Vision and Mission

Related Links

  • State House
  • Tovuti ya mikopo ya wajasiriamali
  • Public Service Management
  • PO-RALG
  • National Bereau of Statistics
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Musoma Municipal Council

    Postal Address: Box 194 Musoma

    Telephone: 0282622560

    Mobile: +255754013734

    Email: info@musomamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.