• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Mrejesho |
    • Lalamika |
Musoma Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Musoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Wasifu wa Kijamii na Kiuchumi wa Halmashauri
      • Viongozi wetu
        • Mayors
        • Municipal Directors
    • Dira na Dhamira
    • Maadili yetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi na Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Uhifadhi Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
          • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
            • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Maeneo ya Viwanda
    • Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za maji
    • Maombi ya Huduma
    • Uthibi wa Mazingira
    • Uthibiti wa Misitu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Elimu, Afya na Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili ya Madiwani
    • Ratiba ya vikao
  • Miradi
    • Miradi inayopendekezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Mpango wa Matumizi Bora ya Ardhi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mwongozo wa kushughulikia Malalamiko
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
    • Wasifu wa Kijamii na Kiuchumi wa Halmashauri
    • Miongozo na Nyaraka
    • Sheria ndogo
    • Majarida
    • Council Budget
      • New menu item
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba
    • Makala

Page Title here

Idara ya Utawala na Utumishi inazo sehemu kuu mbili ambazo ni Rasilimali watu na Utawala. Idara hii inasimamia masuala yote ya utawala na Utumishi ikiwa pamaja na kusimamia nidhamu, haki na wajibu wa watumishi.

Majukumu ya Idara;

Kutafsiri kanuni za Utumishi wa Umma, Kanuni za kudumu na sheria nyingine za kazi

Kusimamia utekelezaji wa shughuli za maadili na uhamasishaji wa maadili ikiwa ni pamoja na elimu ya kuzuia rushwa.

Kusimamia utekelezaji wa shughuli kama vile kuajiri, uteuzi,mwelekeo, mafunzo na maendeleo ya wafanyakazi, kupandisha vyeo, nidhamu, kuhifadhi, motisha, usimamizi wa utendaji na ustawi wa wafanyakazi kwa ujumla.

Kuhakikisha usimamizi wa matumizi bora ya rasilimali watu

Kuratibu masuala ya baraza la wafanyakazi na vyama vya wafanyakazi

Kusimamia uandaaji na utekelezaji wa sera, taratibu na miongozo madhubuti ya kuajiri, mafunzo na uendelezaji, upangaji wa kazi, uhifadhi wa watumishi, upandaji vyeo na  usimamizi wa utendaji.

Kufanya ukaguzi wa mara kwa mara wa rasilimali watu na hesabu ya ujuzi wa sasa na unaohitajika.

Kutoa huduma za masjala, mesenja na courier na kusimamia kumbukumbu za ofisi

Kushughulikia masuala ya Itifaki

Kurahisisha utoaji wa huduma za usalama, usafiri na huduma za jumla.

Kurahisisha matengenezo ya vifaa vya ofisi, majengo na viwanja

Kuratibu utekelezaji wa shughuli za maadili na kukuza maadili

Kuratibu utekelezaji wa masuala mbalimbali

Kuratibu ushiriki wa sekta Binafsi, uboreshaji wa mchakato wa biashara na mkataba wa huduma kwa mteja

Kutoa ushauri juu ya ufanisi wa shirika la ofisi

Kuratibu shughuli za uchaguzi katika Halmashauri: na

Kusimamia uchaguzi Mkuu na Mamlaka za Serikali za Mitaa.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 06, 2025
  • Terms of Reference for the provision of construction supervision consultancy services for urban infrastructure development in Musoma Municipality under the TACTIC Project March 06, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI WA MAHOJIANO October 03, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI WA MAHOJIANO October 03, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC MTAMBI AIPONGEZA MANISPAA YA MUSOMA KWA KUPATA HATI SAFI YA UKAGUZI

    June 02, 2025
  • Mvua iliyoambatana na upepo yasababisha maafa Manispaa ya Musoma

    March 24, 2025
  • UKAGUZI WA MIRADI

    November 05, 2024
  • Watumishi waaswa kuchapa kazi bila kujali uchache wao

    September 08, 2022
  • Tazama zote

Video

Hotuba ya aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara
Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Sisi ni nani
  • Dira na Dhamira

Viunganishi Linganifu

  • IKULU
  • Tovuti ya Mikopo ya wajasiriamali
  • Public Service Management
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Musoma Municipal Council

    Sanduku la Posta: Box 194 Musoma

    Simu: 0282622560

    Simu ya Mkononi: +255754013734

    Barua pepe: info@musomamc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.