• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Mrejesho |
    • Lalamika |
Musoma Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Musoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Wasifu wa Kijamii na Kiuchumi wa Halmashauri
      • Viongozi wetu
        • Mayors
        • Municipal Directors
    • Dira na Dhamira
    • Maadili yetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya jamii
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo vijijini na Mijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi na Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Uhifadhi Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
          • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
            • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha ufuatiliaji na Tathmini
      • Kitengo cha Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Maeneo ya Viwanda
    • Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za maji
    • Maombi ya Huduma
    • Uthibi wa Mazingira
    • Uthibiti wa Misitu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Elimu, Afya na Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili ya Madiwani
    • Ratiba ya vikao
  • Miradi
    • Miradi inayopendekezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Mpango wa Matumizi Bora ya Ardhi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mwongozo wa kushughulikia Malalamiko
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
    • Wasifu wa Kijamii na Kiuchumi wa Halmashauri
    • Miongozo na Nyaraka
    • Sheria ndogo
    • Majarida
    • Council Budget
      • New menu item
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba
    • Makala

MSTAHIKI MEYA AGAWA MADAWATI 950 KWA SHULE ZA MSINGI

Imewekwa: January 22nd, 2026

Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Musoma Mhe. Alex Nyabiti leo Januari 22, 2026 ameendesha zoezi la ugawaji madawati 950 kwa wakuu wa shule za Msingi.

Zoezi hilo la ugawaji limefanyika katika shule ya sekondari ya ufundi Musoma na kushuhudiwa na wajumbe wa kamati ya Fedha na Utawala Manispaa ya Musoma.

Mhe. Nyabiti ameziasa shule zitakazonufaika na mgao huo kuyatunza madiwani hayo na kuhakikisha yanatumika ipasavyo katika kuboresha mazingira ya kujifunza kwa wanafunzi.

Aidha, Mhe. Nyabiti ameshukuru mbunge mstaafu wa jimbo la Musoma mjini Mhe. Vedastus Mathayo kwa moyo wa pekee na kujitoa kuhakikisha madawati hayo yanatengenezwa ili kuondoa adha ya upungufu wa madawati mashuleni.

Madawati yaliyogawanywa kwa shule za Msingi yatangunguza upungufu wa madawati kwa shule hizo ambapo jumla ya wanafunzi 2850 watapata mahali pa kukaa.

Kwa upande wao walimu wakuu wameipongeza Halmashauri chini ya uongozi wa mstahiki Meya kwa jitihada za dhati za kuhakikisha upungufu wa madawati unakwisha na kuboresha  mazingira ya kujifunzia.

Katika mpango hii wa utengenezaji wa madawati jumla ya madawati 2,092 yanatarajiwa kutengenezwa na kugawanywa katika shule za Msingi na Sekondari.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 06, 2025
  • Terms of Reference for the provision of construction supervision consultancy services for urban infrastructure development in Musoma Municipality under the TACTIC Project March 06, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI WA MAHOJIANO October 03, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI WA MAHOJIANO October 03, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MSTAHIKI MEYA AGAWA MADAWATI 950 KWA SHULE ZA MSINGI

    January 22, 2026
  • KAMATI YA FEDHA NA UTAWALA YARIDHIA RASIMU YA MPANGO NA BAJETI YA HALMASHAURI KWA MWAKA WA FEDHA 2026/2027

    January 22, 2026
  • BARAZA LA WAFANYAKAZI LAPENDEKEZA MABADILIKO YA ZAWADI YA MFANYAKAZI HODARI KUTOKA LAKI TANO HADI MILIONI 1

    January 21, 2026
  • KAMATI YA MIPANGO MIJI NA MAZINGIRA YARIDHIA RASIMU YA MPANGO NA BAJETI YA KAMATI KWA MWAKA WA FEDHA 2026/2027

    January 20, 2026
  • Tazama zote

Video

Hotuba ya aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara
Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Sisi ni nani
  • Dira na Dhamira

Viunganishi Linganifu

  • IKULU
  • Tovuti ya Mikopo ya wajasiriamali
  • Public Service Management
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Musoma Municipal Council

    Sanduku la Posta: Box 194 Musoma

    Simu: 0282622560

    Simu ya Mkononi: +255754013734

    Barua pepe: info@musomamc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.