• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Mrejesho |
    • Lalamika |
Musoma Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Musoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Wasifu wa Kijamii na Kiuchumi wa Halmashauri
      • Viongozi wetu
        • Mayors
        • Municipal Directors
    • Dira na Dhamira
    • Maadili yetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya jamii
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo vijijini na Mijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi na Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Uhifadhi Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
          • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
            • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha ufuatiliaji na Tathmini
      • Kitengo cha Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Maeneo ya Viwanda
    • Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za maji
    • Maombi ya Huduma
    • Uthibi wa Mazingira
    • Uthibiti wa Misitu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Elimu, Afya na Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili ya Madiwani
    • Ratiba ya vikao
  • Miradi
    • Miradi inayopendekezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Mpango wa Matumizi Bora ya Ardhi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mwongozo wa kushughulikia Malalamiko
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
    • Wasifu wa Kijamii na Kiuchumi wa Halmashauri
    • Miongozo na Nyaraka
    • Sheria ndogo
    • Majarida
    • Council Budget
      • New menu item
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba
    • Makala

KAMATI YA FEDHA NA UTAWALA YARIDHIA RASIMU YA MPANGO NA BAJETI YA HALMASHAURI KWA MWAKA WA FEDHA 2026/2027

Imewekwa: January 22nd, 2026

KAMATI YA FEDHA NA UTAWALA YARIDHIA RASIMU YA MPANGO NA BAJETI YA HALMASHAURI KWA MWAKA WA FEDHA 2026/2027

Kamati ya kudumu ya Fedha na Utawala ya Halmashari ya Manispaa ya Musoma leo Januari 22, 2026 imepitisha rasimu ya Mpango na Bajeti ya Halmashauri  ya Manispaa ya Musoma kwa mwaka wa fedha  2026/2027 ambapo jumla ya shilingi 37,426,331,679 zinatarajiwa kukusanywa kutoka vyanzo mbalimbali.

Kutoka chanzo cha mapato ya ndani Halmashauri inakusudia kukusanya shilingi 5,976,956,679 sawa na asilimia 15.97, wakati shilingi 1,563, 059,000.00 sawa na asilimia 4.18 ikiwa ni ruzuku ya matumizi mengineyo toka serikali kuu.

Aidha, Mishahara ya watumishi Halmashauri inakusudia kupata 22,632,972,000 sawa na asilimia 60.47 na miradi ya maendeleo toka serikali kuu na wadau wa maendeleo shilingi 7,253, 344,000 sawa na asilimia  19.38.

Akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya mwaka wa fedha 2026/2027 afisa mipango wa Halmashauri ndugu. Samwel Warioba amebainisha kuwa makisio ya bajeti  ya Halmashauri yameongezeka kwa asilimia 0.47 kutoka shilingi 37,252, 114,000 kwa mwaka wa fedha 2025/2026 hadi shilingi  37,426,331,679.00 ya mwaka wa fedha 2026/2027.

Ndugu. Warioba ameongeza kuwa ongezeko hili limechangiwa na kuongezeka  kwa makisio ya michango ya  papo  kwa papo (User fee), michango ya Bima ya Afya(NHIF), michango ya maduka yad awa, kodi ya vibanda, ushuru wa Samaki na dagaa na kuongezeka kwa vyanzo vipya vya mapato ikiwa ni mapato yanayotokana na BASATA, pamoja na ushuru wa mazao na mapato yatokanayo na vizimba.

Katika hatua nyingine Ndg. Warioba amevitaja vipaumbele vya bajeti kuwa ni pamoja na kuongeza usimamizi na ufuatiliaji wa vyanzo vya mapato ya ndani ili kupunguza upotevu na mapato na kuongeza makusanyo ya mapato ya ndani, kuboresha mazingira ya kufanyia kazi kwa kutenga fedha kwa ajili ya ununuzi wa vitendea kazi, kulipa madeni  na stahiki mbalimbali za watumishi katika idara na vitengo na kulips fidia ya maeneo mbalimbali ya wananchi yaliyochukuliwa na serikali kwa shughuli za maendeleo.

Vipaumbele vingine vilivyotajwa na ndg. Warioba kuwa ni kuwawezesha wananchi kiuchumi kupitia asilimia kumi ya mapato ya ndani na mpango wa kunusuru kaya maskini (TASAF), Kuboresha mazingira ya kufanyia kazi katika ngazi za msingi( Kata na Mitaa), kuhifadhi na kupambana na changamoto za uharibifu wa mazingira katika Halmashauri pamoja na kuboresha mazingira ya kufundishia na kujifunzia kwa kutenga bajeti kwa ujenzi wa miundombinu ya kujifunzia.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 06, 2025
  • Terms of Reference for the provision of construction supervision consultancy services for urban infrastructure development in Musoma Municipality under the TACTIC Project March 06, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI WA MAHOJIANO October 03, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI WA MAHOJIANO October 03, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA FEDHA NA UTAWALA YARIDHIA RASIMU YA MPANGO NA BAJETI YA HALMASHAURI KWA MWAKA WA FEDHA 2026/2027

    January 22, 2026
  • BARAZA LA WAFANYAKAZI LAPENDEKEZA MABADILIKO YA ZAWADI YA MFANYAKAZI HODARI KUTOKA LAKI TANO HADI MILIONI 1

    January 21, 2026
  • KAMATI YA MIPANGO MIJI NA MAZINGIRA YARIDHIA RASIMU YA MPANGO NA BAJETI YA KAMATI KWA MWAKA WA FEDHA 2026/2027

    January 20, 2026
  • KAMATI YA MIPANGO MIJI NA MAZINGIRA YARIDHIA RASIMU YA MPANGO NA BAJETI YA KAMATI KWA MWAKA WA FEDHA 2026/2027

    January 20, 2026
  • Tazama zote

Video

Hotuba ya aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara
Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Sisi ni nani
  • Dira na Dhamira

Viunganishi Linganifu

  • IKULU
  • Tovuti ya Mikopo ya wajasiriamali
  • Public Service Management
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Musoma Municipal Council

    Sanduku la Posta: Box 194 Musoma

    Simu: 0282622560

    Simu ya Mkononi: +255754013734

    Barua pepe: info@musomamc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.