• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Mrejesho |
    • Lalamika |
Musoma Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Musoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Wasifu wa Kijamii na Kiuchumi wa Halmashauri
      • Viongozi wetu
        • Mayors
        • Municipal Directors
    • Dira na Dhamira
    • Maadili yetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya jamii
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo vijijini na Mijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi na Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Uhifadhi Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
          • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
            • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha ufuatiliaji na Tathmini
      • Kitengo cha Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Maeneo ya Viwanda
    • Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za maji
    • Maombi ya Huduma
    • Uthibi wa Mazingira
    • Uthibiti wa Misitu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Elimu, Afya na Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili ya Madiwani
    • Ratiba ya vikao
  • Miradi
    • Miradi inayopendekezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Mpango wa Matumizi Bora ya Ardhi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mwongozo wa kushughulikia Malalamiko
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
    • Wasifu wa Kijamii na Kiuchumi wa Halmashauri
    • Miongozo na Nyaraka
    • Sheria ndogo
    • Majarida
    • Council Budget
      • New menu item
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba
    • Makala

MANISPAA YA MUSOMA YAPATA MEYA MPYA

Imewekwa: December 4th, 2025

Mkutano wa kwanza wa Baraza la madiwani (Full Council) umemchagua Mhe. Alex Mtake Nyabiti( CCM) kuwa Mstahiki Meya wa Manispaa ya Musoma akimshinda Mhe. Idrisa Hussein Sokoni( ACT Wazalendo) aliyekuwa akishindana nae. Uchaguzi huo umefanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Manispaa ya Musoma.

Mhe. Nyabiti ambae pia ni diwani wa Kata ya Kigera amewashukuru madiwani wote kwa imani kubwa waliomuonesha na kuahidi kushirikiana nao katika kuongoza na kuisimamia Manispaa ya Musoma.

Mkutano huo wa madiwani pia ulimchagua Mhe. Haji Mugeta Mtete kuwa naibu Meya kupitia chama cha Mapinduzi. Hii mi mara ya pili Mhe. Mtete kushika wadhifa huo wa naibu Meya wa Manispaa ya Musoma.

Baada ya zoezi la uchaguzi wa Meya na Naibu Meya kukamilika Mhe. Nyabiti kwa kushirikiana na Mkurugenzi wa Manispaa ameundwa kamati za kudumu ambazo zitahudumu kwa kipindi cha mwaka mmoja.

Waliochaguliwa katika kamati mbalimbali za kudumu ni kama ifuatavyo:-

Kamati ya fedha na utawala inaundwa na

  1. Mhe. Alex Mtake Nyabiti                             - Mstahiki Meya
  2. Mhe. Haji Mugeta Mtete                             - Naibu Meya
  3. Mhe. Mgore Miraji Kigera                            - Mbunge
  4. Mhe. Mariam  Ally Maro                              - Kata ya Mwigobero
  5. Mhe.  Naima Samsonite Minga                   - Diwani Viti Maalum
  6. Mhe. Idrissa Hussein Sokoni                       - Kata ya Nyakato
  7. Mhe. Meryisiana Masungulwa Masisa        - Diwani Viti Maalum
  8. Mhe.  Sister Yohana Nyakuba                     - Diwani Viti Maalum
  9. Paul Wambura Katikiro                               - Diwani kata ya Bweri
  10. Amina Shaban Masisa                                 - Diwani Viti Maalum

Kamati ya Elimu, Afya na Huduma za Uchumu inaundwa na 

  1. Mhe. Amina Shabani Masisa       - Mwenyekiti
  2. Mhe. William P. Gumbo               - Diwani Kata ya Makoko
  3. Mhe. Asha Swaleh                       - Diwani viti Maalum
  4. Mhe. Haji Mugeta Mtete               - Naibu Meya( Nyasho)
  5. Mhe. Athumani M. Athumani        - Kata ya Buhare
  6. Mhe. Ismail Selemani Massaro    - Kama ya Iringo
  7. Mhe. Magafu Katura Kitundule     - Kata ya Buhare
  8. Mhe. Samsonite M. Makowe        - Kata ya Rwamlimi
  9. Mhe. Agnes Marwa                       - Mbunge Viti Maalum
  10. Mhe. Njofu Constantine Katama   - Kata ya Mshikamano

Kamati ya Mipango Miji na Mazingira inaundwa na 

  1. Mhe. Naima Samsoni Minga                     - Mwenyekiti
  2. Mhe. Alex Mtake Nyabiti                            - Mstahiki Meya  
  3. Mhe. Mary Phares Nyakutonya                 - Kata ya Mukendo
  4. Mhe.  Elieth Godwin Kumila                      - Kata ya Nyakato
  5. Mhe. Mariam Ally Maro                              - Kata ya Mwigobero
  6. Mhe. David Cosmas Regu                         -Kata ya Kamunyonge
  7. Mhe. Matto Cleophas Kuboja                     -Kata ya Mwisenge
  8. Mhe. John William Nyambarya                   -Kata ya Kwangwa
  9. Mhe. Peter Bernald  Masonyi                     -Kata ya Rwamlimi

Kamati ya UKIMWI inaundwa na 

  1.  Mhe. Haji Mugeta Mtete                   - Mwenyekiti( Naibu Meya)

       2. Mhe. Elieth Godwin Kumila              - Diwani Viti Maalum

       3. Mhe. Mary Phares Nyakutonya        - Diwani Kata ya Mukendo

       4. Mhe. Sister Yohana Nyakuba           - Kata ya Iringo

       5. Mhe. Alex Mtake Nyabiti                   - Mstahiki Meya 




 

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 06, 2025
  • Terms of Reference for the provision of construction supervision consultancy services for urban infrastructure development in Musoma Municipality under the TACTIC Project March 06, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI WA MAHOJIANO October 03, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI WA MAHOJIANO October 03, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MKUU WA WILAYA AKEMEA MIGOGORO

    January 13, 2026
  • MANISPAA YA MUSOMA YAPATA MEYA MPYA

    December 04, 2025
  • MWENGE WAZINDUA MRADI WA UPANDAJI MITI CHANZO CHA MAJI BUKANGA

    August 17, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAZINDUA UFUGAJI WA VIZIMBA MANISPAA YA MUSOMA

    August 17, 2025
  • Tazama zote

Video

Hotuba ya aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara
Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Sisi ni nani
  • Dira na Dhamira

Viunganishi Linganifu

  • IKULU
  • Tovuti ya Mikopo ya wajasiriamali
  • Public Service Management
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Musoma Municipal Council

    Sanduku la Posta: Box 194 Musoma

    Simu: 0282622560

    Simu ya Mkononi: +255754013734

    Barua pepe: info@musomamc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.