• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Mrejesho |
    • Lalamika |
Musoma Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Musoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Wasifu wa Kijamii na Kiuchumi wa Halmashauri
      • Viongozi wetu
        • Mayors
        • Municipal Directors
    • Dira na Dhamira
    • Maadili yetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya jamii
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo vijijini na Mijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi na Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Uhifadhi Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
          • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
            • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha ufuatiliaji na Tathmini
      • Kitengo cha Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Maeneo ya Viwanda
    • Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za maji
    • Maombi ya Huduma
    • Uthibi wa Mazingira
    • Uthibiti wa Misitu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Elimu, Afya na Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili ya Madiwani
    • Ratiba ya vikao
  • Miradi
    • Miradi inayopendekezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Mpango wa Matumizi Bora ya Ardhi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mwongozo wa kushughulikia Malalamiko
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
    • Wasifu wa Kijamii na Kiuchumi wa Halmashauri
    • Miongozo na Nyaraka
    • Sheria ndogo
    • Majarida
    • Council Budget
      • New menu item
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba
    • Makala

MSTAHIKI MEYA ASISITIZA UWAJIBIKAJI KWA WATUMISHI

Imewekwa: January 15th, 2026

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Musoma Mhe. Alex Mtake Nyabiti amefanya kikao cha pamoja na timu ya menejimenti ya Manispaa ya Musoma. Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Manispaa ya Musoma leo January 15, 2026.

Mhe. Nyabiti ameambatana na naibu Meya wa Manispaa Mhe. Haji Mugeta Mtete pamoja na wenyeviti wa kamati za kudumu za Elimu, Afya na huduma za uchumi  Mhe. Amina Masisa  na mwenyekiti wa kamati ya Mipango Miji na Mazingira Mhe. Naima Minga

Mhe. Nyabiti amesisitiza ushirikiano na kuwataka wakuu wa idara na vitengo kufanya kazi kwa kasi na weledi ili kuendeleza kazi nzuri iliyofanywa na uongozi uliopita.

Aidha, Mhe. Nyabiti amesisitiza kuwa muda wa kufanya kazi kwa mazoea umefika mwisho na sasa kila mtu anatakiwa kubadili namna ya kufanya kazi na kuongeza kasi ili kuwafikishia wananchi huduma bora.

Kikao hiki kimekusudia kuongeza motisha kwa watumishi na kuwakumbusha wajibu wao katika utoaji wa huduma stahiki kwa wananchi.

Kwa upande wa wataalam Mkurugenzi wa Manispaa ya Musoma Ndugu. Bosco Ndunguru amemshukuru Mstahiki Meya kuwa maelekezo yote aliyoyatoa yatafanyiwa kazi na kuahidi kuwa kwa kushirikiana na timu ya menejimenti watahakikisha kasi ya utendaji inaongezeka na kuhakikisha huduma zote zinazotolewa na Halmashauri zinaboreshwa na kukidhi matarajio ya wananchi.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 06, 2025
  • Terms of Reference for the provision of construction supervision consultancy services for urban infrastructure development in Musoma Municipality under the TACTIC Project March 06, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI WA MAHOJIANO October 03, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI WA MAHOJIANO October 03, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MSTAHIKI MEYA ASISITIZA UWAJIBIKAJI KWA WATUMISHI

    January 15, 2026
  • MKUU WA WILAYA AKEMEA MIGOGORO

    January 13, 2026
  • MANISPAA YA MUSOMA YAPATA MEYA MPYA

    December 04, 2025
  • MWENGE WAZINDUA MRADI WA UPANDAJI MITI CHANZO CHA MAJI BUKANGA

    August 17, 2025
  • Tazama zote

Video

Hotuba ya aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara
Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Sisi ni nani
  • Dira na Dhamira

Viunganishi Linganifu

  • IKULU
  • Tovuti ya Mikopo ya wajasiriamali
  • Public Service Management
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Musoma Municipal Council

    Sanduku la Posta: Box 194 Musoma

    Simu: 0282622560

    Simu ya Mkononi: +255754013734

    Barua pepe: info@musomamc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.