• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Mrejesho |
    • Lalamika |
Musoma Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Musoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Wasifu wa Kijamii na Kiuchumi wa Halmashauri
      • Viongozi wetu
        • Mayors
        • Municipal Directors
    • Dira na Dhamira
    • Maadili yetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi na Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Uhifadhi Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
          • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
            • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Maeneo ya Viwanda
    • Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za maji
    • Maombi ya Huduma
    • Uthibi wa Mazingira
    • Uthibiti wa Misitu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Elimu, Afya na Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili ya Madiwani
    • Ratiba ya vikao
  • Miradi
    • Miradi inayopendekezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Mpango wa Matumizi Bora ya Ardhi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mwongozo wa kushughulikia Malalamiko
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
    • Wasifu wa Kijamii na Kiuchumi wa Halmashauri
    • Miongozo na Nyaraka
    • Sheria ndogo
    • Majarida
    • Council Budget
      • New menu item
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba
    • Makala

RC MTAMBI AIPONGEZA MANISPAA YA MUSOMA KWA KUPATA HATI SAFI YA UKAGUZI

Imewekwa: June 2nd, 2025

RC MTAMBI AIPONGEZA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MUSOMA KWA KUPATA HATI SAFI

Mkuu wa mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi ameipongeza Halmashauri ya Manispaa ya Musoma kwa kupata hati safi ya ukaguzi kwa kipindi cha miaka mitano mfululizo.

RC Mtambi ametoa pongezi hizo katika baraza maalum la madiwani kujadili hoja za ukaguzi lililofanyika leo Juni 06.2025 katika ukumbi wa mikutano wa Manispaa ya Musoma.

Mh. Mtambi amewataka watendaji wa halmashauri kuendeelea kufanya kazi kwa bidii ili kuendeleza upatikanaji wa hati safi za ukaguzi katika kaguzi zinazokuja

Aidha, Kanali Mtambi amelielekeza baraza la madiwani kwa kushirikiana na menejimenti kuandaa mpango kazi ili kujibu hoja za ukaguzi ambazo hazijafungwa pamoja na maagizo ya kamati ya kudumu ya bunge ya hesabu za serikali za mitaa (LAAC).

Kanali Mtambi pia ametoa maelekezo mahsusi kwa baraza la madiwani kwa kushirikiana na menejimenti kubuni vyanzo vipya vya mapato na kuimarisha vilivyopo.

Maagizo mengine yaliyotolewa na RC Mtambi ni pamoja na ununuzi wa hudum na bidhaa zifanyike kwa kutumia mfumo wa ununuzi wa Umma(Nest) na ununuzi wa bidhaa za afya ufanyike kupitia mamlaka ya dawa na vifaa tiba (MSD)  au kwa mshitiri aliyeidhinishwa.

Maagizo mengine ni hatua stahiki zichukuliwe kwa watumishi waliosababisha hoja za ukaguzi, Halmashauri ihakikishe inaimarisha vitengo vya ufuatiliaji na ukaguzi kwa kuvipa rasilimali watu na fedha za kutosha pamoja na menejimenti kutekeleza majukumu yake kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu.

Kwa upande wake mstahiki meya wa Manispaa Mhe. William Gumbo amemhakikishia mkuu wa mkoa kuwa Manispaa ya Musoma ya Musoma itaendelea kutekeleza majukumu yake kwa weledi na ufanisi ili kuwaletea wananchi maendeleo na ustawi.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 06, 2025
  • Terms of Reference for the provision of construction supervision consultancy services for urban infrastructure development in Musoma Municipality under the TACTIC Project March 06, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI WA MAHOJIANO October 03, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI WA MAHOJIANO October 03, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC MTAMBI AIPONGEZA MANISPAA YA MUSOMA KWA KUPATA HATI SAFI YA UKAGUZI

    June 02, 2025
  • Mvua iliyoambatana na upepo yasababisha maafa Manispaa ya Musoma

    March 24, 2025
  • UKAGUZI WA MIRADI

    November 05, 2024
  • Watumishi waaswa kuchapa kazi bila kujali uchache wao

    September 08, 2022
  • Tazama zote

Video

Hotuba ya aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara
Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Sisi ni nani
  • Dira na Dhamira

Viunganishi Linganifu

  • IKULU
  • Tovuti ya Mikopo ya wajasiriamali
  • Public Service Management
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Musoma Municipal Council

    Sanduku la Posta: Box 194 Musoma

    Simu: 0282622560

    Simu ya Mkononi: +255754013734

    Barua pepe: info@musomamc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.